sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
Teh kumbe nawe ni former weruweru
ndiyo mamy nilimaliza pale form six 2007.....
Teh kumbe nawe ni former weruweru
sister umenikumbusha mbali. .
Mahindi tumelima na kuvuna magunia kwa magunia..
Kweli ile shule ililea haswaa....
Hongeraaa Weru×2
U mlezi wetu,
Kwa upendo wa moyoni tunajivunia. ....etc
Taarifa za aina gani unataka kama p.o.box ni 575 namba ya simu sikumbuki...
Labda useme kachaguliwa combi gani... shule ni nzuri kimaadili na kielimu kwa combination zote kuna walim wa kutosha.. maji... umeme na chakula... ukiingia mule kutoka nje ya geti ni siku ya kufunga shule basi... visiting day ni once per yr inakuwa Sept or Aug..
Mahitaji muhimu ya mwanzo ni Ndoo ya maji, sabuni,mswaki,soapdish, abebe uniform za shule aliyotoka hizo atazivaa darasani mpk wakipewa uniform za pale na shamba dress kwakuanzia abebe nguo za kushindia kama mbadala wa shamba dress, abebe nguo angalau moja ya mtoko kama disco au kupigia picha, blanket,shuka 2,mto na foronya, abebe tranker mabegi ya kawaida hayaruhusiwi mzazi utarud nalo ukisha mwacha mwanao shule..
Academic .. counter book quire 4 kama 8 hv na madaftari ya rough, calculator,peni,penseli,ufutio n.k
Simu it is strictly prohibited mtawasiliana kwa barua tu.
Jembe au Slesha ni lazima ila inategemea mwaka huu wanahitaji jembe au slesha..
Viatu ni vya kamba flat vyeusi aisahau.. na pocket money pia
HONGERENI WANAWAKE WAPENDELEVU......Mama Kamm na Baba Kamm walifanya kazi nzuri sana. Mwana Weruweru aliyepitia mikononi mwa Mama Kamm (Maza) kwa kweli hatajutia muda wake...sister umenikumbusha mbali. .
Mahindi tumelima na kuvuna magunia kwa magunia..
Kweli ile shule ililea haswaa....
Hongeraaa Weru×2
U mlezi wetu,
Kwa upendo wa moyoni tunajivunia. ....etc
hahahaha.....na gari letu lile scandinavia mwe.......unalikumbuka duka la kwa chege.......mwe weruweru ilinitoa uvivu wote kile kilimo si mchezo.....
hivyo viatu viliniangusha nilipigwa bonge la mweleka....mwe makande nyama nimeyakumbuka........mimi nilivyoambiwa shule unaenda na jembe nikaanza kulia mama akasema hiyo ndo nzuri.....
Hahaha zile flat shoes hata sisimizi hawezi kuvuka chini ya kiatu lol.. na zile corridor za DH zinateleza sana... bila kusahau parade jumatatu na lile baridi sasa quick much hapo mama abdalla hataki mvae masweta j3 nilikuwa siipendi mweh
Hahahaa kwa chegge wazee wa kuvusha illegal kule chapati nini lol... bila kumsahau peter wagetini mnoko... scandnavia letu lilioza sana mpk kuna siku wakati linabeba mahindi ile chuma ya chini mbele ilianguka kwa kuoza ila mzigo kama kawa ikaendelea kubeba mahindi na kuni hahaha
hahahahhaaa.....mimi nilikuwa HGE sasa siku hiyo tuko watatu tukaagiza donati...mwe wakati wini anayaleta nikaona mwalimu anakuja we watacha nitoke mbio...sasa badala ya kuwaambia wezangu mwalimu anakuja tukimbie wote nikajikuta nakimbia mwenyewe......eeh kuja kushtuka mwalimu huyo wakadakwa bwana.......uzuri wakazuga wakaachiwa....walinilaumu kishenzi ila mim nili panic nikakimbia bila kuaga.....
Hahaha mbele ya hatari lazima upanic kuna rafiki yangu alikamatwa na simba wa tatu Abdala, Sambaya na Mgase akiongea na ndugu yake alikuja msalimia pale getini bila ruhusa ya TOD teh alipokutana na top 3 alijihisi kifo lol hakuamini kuachiwa hvhv bila adhabu.
sister umenikumbusha mbali. .
Mahindi tumelima na kuvuna magunia kwa magunia..
Kweli ile shule ililea haswaa....
Hongeraaa Weru×2
U mlezi wetu,
Kwa upendo wa moyoni tunajivunia. ....etc
Hahaha zile flat shoes hata sisimizi hawezi kuvuka chini ya kiatu lol.. na zile corridor za DH zinateleza sana... bila kusahau parade jumatatu na lile baridi sasa quick much hapo mama abdalla hataki mvae masweta j3 nilikuwa siipendi mweh
hahaaa sambaya mwe alitupa jina darasa letu na kutuita "makoboko" basi nasi tukawa tunajiita hivyo.....sambaya sitamsahau alinipa adhabu ya kuchimba mtaro ili bomba lipite kuelekea kule multi purpose hall ......mwe sikuamini kama niliweza kuchimba ukle mtaro yani muda mwingine najihisi kama ni avigimbi vya mikono...LOh
ila si waliuza shamba la manushi? naona watakuwa wamepunguza kulima.
Wanaweruu duniani tunajivuniaaa,uchangia kuendeleza maisha yetu,sifa zako tanzania ata nje zasifikaaaa hongera weruweru uumlezi wetu......
Shamba la manushi liliuzwa mda sasa limebaki moja tu lile la pale kituo cha daladala na hivi wanafunz wamepungua hakuna O'level wasingeweza five na six kumaliza .... ila ile shule mmmh JKT wangeipa tu exemption lol
jamani anayeifahamu shule ya karatu,anijuze mana nmepangwa huko