Ulizaa na mke/kimada wa mtu, unampataje mwanao?

Yaani kwa uzinzi wako unataka kuvunja ndoa za watu?Kwa hiyo unataka mtoto ambae hujalea?Unaelewa kuwa Baba halisi na wa ukweli ni yule alielea mtoto na wala siyo yule aliekula starehe za ngono?Mimi ningekuwa ni huyo mume wa huyo mwanamke ningeiwinda hiyo tigo yako mchana kwa usiku!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yaani kwa uzinzi wako unataka kuvunja ndoa za watu?Kwa hiyo unataka mtoto ambae hujalea?Unaelewa kuwa Baba halisi na wa ukweli ni yule alielea mtoto na wala siyo yule aliekula starehe za ngono?Mimi ningekuwa ni huyo mume wa huyo mwanamke ningeiwinda hiyo tigo yako mchana kwa usiku!
... utakuwa umefanya upumbavu wa kujimaliza wewe mwenyewe. Last year (2020) kuna uzi uliletwa humu jamaa alimfanyia kitu mbaya mgoni wake. Mgoni akafungua kesi, jamaa akakatiwa kifungo cha maisha gerezani (uzi uliletwa humu humu JF). So, be careful, unaweza kudhani unamkomesha kumbe unajiharibia maisha yako mwenywe - fuata taratibu za kisheria badala ya kuweka akili pembeni.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haiwezekani,kimada ni mke?
Kama sio mke ss hapo hakuna tatizo. Ni ww kwenda kuzungumza na unayedhani ni mzazi mwenzio. Ila ufahamu serikali pia inawatambua watu walioishi pamoja zaidi ya miezi 6 na jamii ikathibitisha kuwa hawa wanaishi pamoja kama mke na mume.
 
Upo katika mahusiano na kimada wa mtu, baada ya miezi kadhaa unaona kitumbo kimetutumka lakini yeye hakwambii lolote kuhusu hicho kitumbo, na wewe kwakuwa unajua ana mtu wake maalum unaamua kukauka tu, siku zinaendelea kusonga mtoto anazaliwa, wakati huo wewe tayari ulishahama maeneo yale umeenda kutafuta maisha sehemu nyingine.

Mtoto akiwa na umri wa miaka miwili, watu wako wa karibu wanakwambia unafanana sana na mtoto wa aliyekuwa hawara yako, unapanga safari ukamuone huyo mtoto kweli kwa macho yako unaona mtoto anafanana na wewe lakini zaidi anafanana sana na Mama yako, unaamua kumtafuta Ex wako na kumuuliza kuhusu mtoto, anakwambia mtoto sio wako, wakati huo tayari umeshaambiwa kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Ex wako na mtu wake kuhusiana na huyo mtoto. Je unaweza ukachukua hatua zozote za kisheria dhidi ya huyu Ex ili akupe haki yako ambaye ni mtoto?
Demu wa mtu unatembea naye bila kinga, miaka hii kweli?
 
Kama sio mke ss hapo hakuna tatizo. Ni ww kwenda kuzungumza na unayedhani ni mzazi mwenzio. Ila ufahamu serikali pia inawatambua watu walioishi pamoja zaidi ya miezi 6 na jamii ikathibitisha kuwa hawa wanaishi pamoja kama mke na mume.
Mzazi mwenzangu hataki hata kusikia hiyo habari
 
... utakuwa umefanya upumbavu wa kujimaliza wewe mwenyewe. Last year (2020) kuna uzi uliletwa humu jamaa alimfanyia kitu mbaya mgoni wake. Mgoni akafungua kesi, jamaa akakatiwa kifungo cha maisha gerezani (uzi uliletwa humu humu JF). So, be careful, unaweza kudhani unamkomesha kumbe unajiharibia maisha yako mwenywe - fuata taratibu za kisheria badala ya kuweka akili pembeni.
Nadhani atakuwa amekuelewa, kifungo cha maisha kwasababu ya mwanamke ambaye unaweza ukamwacha na ukaoa mwingine maisha yakaendelea.
 
Tafuta wana sheria wakufafanulie unafanyaje hapo,ila kuanza sasa acha zinaa,hiyo ni moja tu ya consequences zake...
 
Yaani kwa uzinzi wako unataka kuvunja ndoa za watu?Kwa hiyo unataka mtoto ambae hujalea?Unaelewa kuwa Baba halisi na wa ukweli ni yule alielea mtoto na wala siyo yule aliekula starehe za ngono?Mimi ningekuwa ni huyo mume wa huyo mwanamke ningeiwinda hiyo tigo yako mchana kwa usiku!
Nimesema haikuwa ndoa walikuwa vimada tu,baba halisi ni yule aliyemwaga shahawa sio mlezi,ukiniwinda jiandae kuliwa wewe pamoja na huyo mke wako.
 
Sheria ipi inasema kuwa wachumba tena wenye umri zaidi ya miaka 18, wazazi wao wanatakiwa kuwa na taarifa?
Sijui lolote kuhusu sheria,Ila Kama sheria inatambua uchumba usio rasmi,basi hata mimi nina haki ya kuitwa mchumba wa mzazi mwenzangu
 
Uchumba usio rasmi ni upi huo?Na je hiyo definition yako ya uchumba usio rasmi umeitoa kwenye sheria au ni definition yako tu umejitungia?
 
Narudia tena kuhusu sheria sijui lolote,Ila katika utaratibu wa kawaida tu mchumba ni yule anayetambulika na ndugu wa pande zote mbili,posa/barua/mahari nk.
 
Hizo ni definition zako lakini mahakamani huko mambo yatakuwa ni kinyume chake!Wewe kutokujua sheria haitakufanya usalimike!
 
Mzazi mwenzangu hataki hata kusikia hiyo habari
Huna njia nyingine zaidi ya hiyo labda kama unataka kutumia nguvu upime DNA kitu ambacho utaingia aibu kubwa endapo si wako na utakuwa umevuruga mahusiano ya watu. Kuwa mvumilivu na subira. Kama mlishawahi kushiriki tendo hamuwezi shindwa kuzungumza, ni suala la muda tu.
 
Kama angekuwa anataka mtoto angeuliza Wakati mimba inatungwa na anaionaa...!! Leo mwenzie kamlelea mtoto ana miaka 2 anaaanza kuleta mbupuu zake mbele mbelee...
Sababu hata Ukipima DNA ukakuta mtoto ni wako na huna uwezo wa kumlea yeye na mama yake utakuwa umemuharibia huyo mwanamke maana sheria za nchi huwezi kupewa huyo mtoto mpaka afike miaka 18 aamue mwenyewe sasa. Kwa sasa mtoto ni wa mama hata ukipima DNA mara 100 huyo mtoto humchukui na sasa.
 
Back
Top Bottom