Ulizaa na mke/kimada wa mtu, unampataje mwanao?

Ulizaa na mke/kimada wa mtu, unampataje mwanao?

Hizo ni definition zako lakini mahakamani huko mambo yatakuwa ni kinyume chake!Wewe kutokujua sheria haitakufanya usalimike!
Sawa, lakini kosa sio langu kosa ni la mwanamke aliyekubali kuwa na wachumba wawili kwa wakati mmoja
 
Huna njia nyingine zaidi ya hiyo labda kama unataka kutumia nguvu upime DNA kitu ambacho utaingia aibu kubwa endapo si wako na utakuwa umevuruga mahusiano ya watu. Kuwa mvumilivu na subira. Kama mlishawahi kushiriki tendo hamuwezi shindwa kuzungumza, ni suala la muda tu.
Yaani hata wewe ungemuona yule mtoto na ukaniona mimi huulizi,utajua tu baba yake mimi wala hakuna haja ya DNA
 
Kama angekuwa anataka mtoto angeuliza Wakati mimba inatungwa na anaionaa...!! Leo mwenzie kamlelea mtoto ana miaka 2 anaaanza kuleta mbupuu zake mbele mbelee...
Sababu hata Ukipima DNA ukakuta mtoto ni wako na huna uwezo wa kumlea yeye na mama yake utakuwa umemuharibia huyo mwanamke maana sheria za nchi huwezi kupewa huyo mtoto mpaka afike miaka 18 aamue mwenyewe sasa. Kwa sasa mtoto ni wa mama hata ukipima DNA mara 100 huyo mtoto humchukui na sasa.
Mbupuuuu[emoji1787][emoji1787] umeua mkuu,Sasa kipimo kimeonyesha ni wangu na uwezo wa kumlea ninao , sheria inasemaje hapa?
 
Mbupuuuu[emoji1787][emoji1787] umeua mkuu,Sasa kipimo kimeonyesha ni wangu na uwezo wa kumlea ninao , sheria inasemaje hapa?
Mtoto ni mdogo sana huyo... Kwani unadhani diamond hana uwezo wa kuwalea wanawe????? Tena yeye anaweza kulea na mama zao lakini HAWEZI PEWA MTOTO.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe na njaa yako hata akikua mkubwa hupati kitu.
 
Hata nisipomchukua sawa lakini muhimu ajue baba yake ni mimi na sio yule mwingine
 
Hata nisipomchukua sawa lakini muhimu ajue baba yake ni mimi na sio yule mwingine
Miaka 2 mtoto huishi nae atajuaje wew ni baba yake????? Hivi unaelewa unachokisema???? Wewe beba mama yake anza kuishi nae hutahitaji kutumiaa nguvu na kelele zote hizii kutaka mtoto ajue wewe ni baba yake...
 
Mama yake wa nini hajatulia,mtoto kunijua kama mimi baba yake sio lazima niishi naye
 
Mama yake wa nini hajatulia,mtoto kunijua kama mimi baba yake sio lazima niishi naye
Bhasi kwa sasa mtoto hawezi jua kama weww ni baba yake kwa umri wa miaka 2 otherwise unataka Huyo baba ajue huyo ni mtoto wako...!! Tafuta namba ya huyo baba ya whatsapp alafu mtumie picha zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaejua mtoto ni wa nani ni Mamaa.
 
Unajutafutia matatizo bure umeshasema kimada wa mtu, so we happy unajitafutia kesi ambayo ulimla ukijua ana mtu wake.
Yatakayokupata hata mm sjui

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Bhasi kwa sasa mtoto hawezi jua kama weww ni baba yake kwa umri wa miaka 2 otherwise unataka Huyo baba ajue huyo ni mtoto wako...!! Tafuta namba ya huyo baba ya whatsapp alafu mtumie picha zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anaejua mtoto ni wa nani ni Mamaa.
Yah mama yake anakiri mtoto ni wangu,Ila anadai kwakuwa hatukuwa na lango la kuzaa ilitokea bahati mbaya basi sina haki yoyote mtoto atabaki kuwa wa baba mlezi
 
Yaani kwa uzinzi wako unataka kuvunja ndoa za watu?Kwa hiyo unataka mtoto ambae hujalea?Unaelewa kuwa Baba halisi na wa ukweli ni yule alielea mtoto na wala siyo yule aliekula starehe za ngono?Mimi ningekuwa ni huyo mume wa huyo mwanamke ningeiwinda hiyo tigo yako mchana kwa usiku!
Mzee Abdul awekwe kundi gani hapa?
 
Upo katika mahusiano na kimada wa mtu, baada ya miezi kadhaa unaona kitumbo kimetutumka lakini yeye hakwambii lolote kuhusu hicho kitumbo, na wewe kwakuwa unajua ana mtu wake maalum unaamua kukauka tu, siku zinaendelea kusonga mtoto anazaliwa, wakati huo wewe tayari ulishahama maeneo yale umeenda kutafuta maisha sehemu nyingine.

Mtoto akiwa na umri wa miaka miwili, watu wako wa karibu wanakwambia unafanana sana na mtoto wa aliyekuwa hawara yako, unapanga safari ukamuone huyo mtoto kweli kwa macho yako unaona mtoto anafanana na wewe lakini zaidi anafanana sana na Mama yako, unaamua kumtafuta Ex wako na kumuuliza kuhusu mtoto, anakwambia mtoto sio wako, wakati huo tayari umeshaambiwa kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Ex wako na mtu wake kuhusiana na huyo mtoto. Je unaweza ukachukua hatua zozote za kisheria dhidi ya huyu Ex ili akupe haki yako ambaye ni mtoto?
Huku kwetu tarime, aliyelipia mahari ndiye mwenye hati miliki na watoto , si vinginevyo
 
Back
Top Bottom