Uliza swali lolote kuhusu shoti za umeme ndani ya nyumba ...

Boss nguvu ya msukumo wa electron ni Electromotive force, na si Potential difference. Hahahaaaha. PD na EMF zinawachanganyaga sana watu BTW.
Dah.....
Emf inapimwa katika chanzo cha umeme......Pd ni sehemu yoyote nje ya chanzo......kurudi kwenye mada naona wewe ndiyo umejichanganya:)
 
Uliyoelezea yanasababishwa na nini? Tatizo lipo him nikiwa natest ukali wa moto wa pasi natetemeshwa nikadhani pasi feki nikanunua nyngne nayo ikawa vilevile na nikaenda kulalamika niliponunua wakaijaribu ikawa poa ila hom aikubali inatetemesha ukiugusa kule chini unaponyoshea
Mkuu unagusa ili ugundue nini
 
Uliyoelezea yanasababishwa na nini? Tatizo lipo him nikiwa natest ukali wa moto wa pasi natetemeshwa nikadhani pasi feki nikanunua nyngne nayo ikawa vilevile na nikaenda kulalamika niliponunua wakaijaribu ikawa poa ila hom aikubali inatetemesha ukiugusa kule chini unaponyoshea
Earth yako mbovu na kuna sehemu ipo linkage ivo Ndio maana unatetemeshwa,
 
Dah....Usimpeleke chaka bana...hapo kuna leakage (mvujo) wa umeme kati ya waya wa moto (live wire) na earth/bodi ya kifaa kingine kinachotumia umeme...earth rod haihusiki kabisa.... afanye ukaguzi katika njia za umeme na anunue RCD circuit breaker itamsaidia kukiwa na hatari....:)
B1049180783.jpg
Uko sahihi mkuu ila kwa njia moja ama nyingine jamaa yuko sahihi, Kwa maana angekuwa na strong earth hio Leakage kati ya earth na live basi Asingepigwa short mana umeme ungeenda ardhini badala ya kumpiga short kumbuka ground iko at 0 potential, Solution ni ELCB yani Earth leakage circuit breaker ambapo incase kuna linkage basi Line haitakaa mpaka uondoe io leakage, Residual Current Device ina deal tu na overcurrent na Short circuit
 
Najua maji hayapatani na umeme,
Sasa nikichukua waya wenye umeme ule wenye moto (Tuseme uliochomekwa kwenye soketi) nikaenda kuuchomeka baharini tuseme pale ferry,
1) Je mtu akiyashika hayo Maji tuseme Zanzibar, Madagaska, India, UK au popote ambako bahari imefika atapigwa shoti??
2) Na Yeye akiunga balbu kwenye hayo maji assume waya wa neutral upo je bulb itawaka??
Maji ni conductor ila ni Very poor conductor haiwezi kutokea icho unachowaza
 
Watu wengi nyumba zao zina shoti ila hawajui....
Hii husababishwa na miundo mbinu ya umeme kukaa mda mrefu bila kurekebishwa...
Unakuta nyumba ukichomeka pasi..TV km hauna ndala unatetemeshwa hii ni hatari sana
Chukua hatua...pata ushauri hapa
Naomba elimu ndogo kuhusu earthing, napokaa hamna earthing ile ambayo imezoeleka, ya kutumia earth rod, sijajua kuna njia nyingine ya kuweka au hapo napokaa hamna hiyo kitu?
 
Uko sahihi mkuu ila kwa njia moja ama nyingine jamaa yuko sahihi, Kwa maana angekuwa na strong earth hio Leakage kati ya earth na live basi Asingepigwa short mana umeme ungeenda ardhini badala ya kumpiga short kumbuka ground iko at 0 potential, Solution ni ELCB yani Earth leakage circuit breaker ambapo incase kuna linkage basi Line haitakaa mpaka uondoe io leakage, Residual Current Device ina deal tu na overcurrent na Short circuit
Umedadavua vema sana.
 
Naomba kujua

Earth katika nyumba huwa inaanzia wapi.......?

What effect will occur if earth imeshort na live.....?

And second if neutral imeshort na earth........?
 
Wataalamu wanashauri kuweka kitu kinachotunza unyevu...so hii utegemea na mazingira...Tz mafundi wengi wanaweka mkaa then chumvi...lengo kuu ni kutunza unyevu tu
Hasa wakati wa kiangazi...
Nisipoweka chumvi na mkaa...badala yake nikawa namwagia maji earth rod kila baada ya siku mbili kuna tatizo !?
 
Katika main switch kuna ...main ina njia na kila njia ina amp 10,16,20,32+ so possibly ...njia iliyotumika kuunga izo socket imezidiwa na voltage za umeme wa ndani unaotumika.. So km imeungwa kwenye 20 amp change to 32+ ....kikubwa check na fundi...pia may be ni ishu ya wire.. Kila waya una voltage zake ...pasi ni vema kutumia 4.5 + ...nyumba nyingi wanatumia 2.5 so vitu vyote vinavyotoa moto km pasi,jiko n.k tumia 4+ wire...
Earth na short ya umeme inazuia VP na je kwa nini meter hizi mpyaa zilizoletwa za remote zinakula sana umeme tofauti na zamani
 
Najua maji hayapatani na umeme,
Sasa nikichukua waya wenye umeme ule wenye moto (Tuseme uliochomekwa kwenye soketi) nikaenda kuuchomeka baharini tuseme pale ferry,
1) Je mtu akiyashika hayo Maji tuseme Zanzibar, Madagaska, India, UK au popote ambako bahari imefika atapigwa shoti??
2) Na Yeye akiunga balbu kwenye hayo maji assume waya wa neutral upo je bulb itawaka??
Logic question
 
Back
Top Bottom