Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

Kama kuna swali ulikuwa unajiuliza kuhusu fani nzima ya Radiology au Radiotherapy(tiba kwa mionzi),hapa ni mahali sahihi kuuliza
Kwa kifupi Radiology inahusisha uchunguzi wa magonjwa kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia aidha
1.Mionzi
vifaa vinavyotumia mionzi ni kama xray,ct scan,fluoroscopy,mamography
2.Mawimbi ya sauti(ultrasound)
3.Nguvu ya usumaku hapa kuna Magnetic resonance imaging(MRI)
Naomba unijuze kwa nini ukiingia chumba cha xray doctor akiwasha huwa yeye anakaa mbali au hutoka kabisa kukwepa ule mwanga hua una nini
 
Ina madhara gani hiyo scattered radiotion?
Kwa lugha rahisi ni
Inaongeza radition dose kwa mtaalamu hivyo kuna level ya dose akifikia ita muaffect,japo ni long term effect kumbuka yeye anaspend mda mwingi kwenye chumba cha xray/ct scan hivyo inampasa aepuke kujiongezea dose kusipo na umuhimu
Kushindwa kujilinda na radiation zisizo za lazima inaweza mfanya mtaalamu akafutiwa leseni
 
kuna tofauti gani kati ya xray na xrf na je xrays za sibitari zinatofauti na xrays za viwandani?
 
Mkuu una haki ya kushtaki pale unapoona unakuwa over exposed bila ya sababu za kimsingi au wewe kutumika kama mwili wa wanafunzi kujifunzia
Hilo la kutumika lipo sana. Kuna siku nilipewa appointment lakini maumivu ya jino yalizidi nikaenda chuo cha waganga. Nilikoma mwenyewe nilipewa wanafunzi wawili bila mwalimu walupokua wanalipiga koleo gego langu utadhani wanang'oa kisiki hata ganzi haikusaidia nililia kana mtoto.
 
Kama kuna swali ulikuwa unajiuliza kuhusu fani nzima ya Radiology au Radiotherapy(tiba kwa mionzi),hapa ni mahali sahihi kuuliza
Kwa kifupi Radiology inahusisha uchunguzi wa magonjwa kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia aidha
1.Mionzi
vifaa vinavyotumia mionzi ni kama xray,ct scan,fluoroscopy,mamography
2.Mawimbi ya sauti(ultrasound)
3.Nguvu ya usumaku hapa kuna Magnetic resonance imaging(MRI)
Kwanza nikupongeze maana hapa kila kukicha tunaongelea pumba zaidi ya mambo muhimu. Wataalam wengine waige mfano wako hata wanasheria pia kina Mngoni Petro maana siasa kila kukicha hazitusaidii

Hongera mkuu wewe ndiye tujuite mtaalam msomi
 
kuna tofauti gani kati ya xray na xrf na je xrays za sibitari zinatofauti na xrays za viwandani?
Xrf ni xrays zinazo tumika kuchukua cine video hivyo hutumika kama kuna ulazima wa kuona movement ya kitu fulan na huwa ni real time diagnosis
 
Xrf ni xrays zinazo tumika kuchukua cine video hivyo hutumika kama kuna ulazima wa kuona movement ya kitu fulan na huwa ni real time diagnosis
Soma vizuri swali ikiwezekana jikumbushe kwenye maandiko siyo dhambi binafsi nilitarajia majibu mazito sana kutoka kwako lakini naona kama majibu mepesi sana
 
Soma vizuri swali ikiwezekana jikumbushe kwenye maandiko siyo dhambi binafsi nilitarajia majibu mazito sana kutoka kwako lakini naona kama majibu mepesi sana
KWANINI XRAY inaweza kuonesha kama mtu amebeba chuma aua laa ila haiwezi kuonesha mifupa ya muusika kwa wakati huo huo akiwa anakaguliwa?
 
Mada nzuri sana, kabla sijauliza swali nimeshapata majibu yote. Kuna jamaa alinitisha sana nilipopiga x-ray miaka iyo kama nitakufa haraka. Mungu si le Mutuz keshokutwa 40 yake.
hahahhahahhahah Mungu si Le mutuz
 
Back
Top Bottom