Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

Kwahiyo daughter cell haziko stable kama parent cell, kwamba kadiri division inavyoendelea kwa kasi ndio zinapokufa?

Sasa kwani cell zina kua kwa muda gani, na hii tiba inafanywa mara moja tuu au ni muendelezo hadi pale utakapo pona, kwasababu nawaza kwa mfn leo ndio ninaenda hospital kwajili ya procedure ya kutibu sehem iliyo kuwa infected siamini kama cell zitakua zinakua na kujidivide ktk muda huo

Gama rays zinauwezo wa kuua cells kwa kuzifanya zisiwe na nguvu ya kuendelea na division nyengine...hivyo target huwa ni kuua cancer cells ili zisiendelee kusambaa,process huwa inaendelea kila baada ya muda flani mpaka zitakapoisha..shida ni wengi wanachelewa kuanza therapy..cancer huwa ishapamba moto
 
Gama rays zinauwezo wa kuua cells kwa kuzifanya zisiwe na nguvu ya kuendelea na division nyengine...hivyo target huwa ni kuua cancer cells ili zisiendelee kusambaa
Hufanywa kwa muda gani matibabu hayo?
 
mpaka cancer cells ziishe
Ooh ....
Na viashiria gani waweza tumia kugungua cancer inapotaka kuanza (achana kwanza na ile ya hospitali after checkup) na viashiria vyakutambua kansa imekwishwa.

Pia naomba nijuze ivi uvimbe(kansa ya ubongo) nini chanzo chake nimekua nikiuliza hili swali pasipo kulidhishwa na majibu kwan wengi uniambia tu ni kwasababu ya abnormalities za growth za cell
 
Hakuna mtu anajua chanzo cha Kansa vinginevyo tiba na Chanel ingeshspatikana!
 
So nifanye nini kuepukana nayo? Esp kansa ya ubongo

Hakuna kitu utafanya zaidi ya kwenda mara kwa mara kwa uchunguzi, sana sana angalia kwenye ukoo wako kama mtu aliwahi kuathiriwa na Kansa kwani aina nyingi za Kansa ni genetic, yaani zinathirithishwa!
 
Ooh ....
Na viashiria gani waweza tumia kugungua cancer inapotaka kuanza (achana kwanza na ile ya hospitali after checkup) na viashiria vyakutambua kansa imekwishwa.
Mpaka sasa challenge kubwa ni kugundua cancer katika hatua za mwanzo kabisa

Tiba ya cancer hutolewa kwa ushirikiano wa watu watatu therapist,cancer oncologist na physicist....kujua maendeleo ya tiba huwa ni assessment inayofanywa na oncologist na diagnosis ya eneo husika

Pia naomba nijuze ivi uvimbe(kansa ya ubongo) nini chanzo chake nimekua nikiuliza hili swali pasipo kulidhishwa na majibu kwan wengi uniambia tu ni kwasababu ya abnormalities za growth za cell

Hakuna anaeweza kukujibu clear chanzo cha cancer ya ubongo japo kuna risk factors kama radiation,na genetics
cancer yoyote huwa ni matokeo ya cell za eneo hilo kumisbehave na kuanza kukua tofauti na cell za kawaida,sasa lini zilianza kumisbehave na chanzo cha kumisbehave hakuna anaejua
 
Oooh
Sawa mkuu, bwana awe nawe.... shukrani
Hakuna kitu utafanya zaidi ya kwenda mara kwa mara kwa uchunguzi, sana sana angalia kwenye ukoo wako kama mtu aliwahi kuathiriwa na Kansa kwani aina nyingi za Kansa ni genetic, yaani zinathirithishwa!
 
Tiba ya cancer hutolewa kwa ushirikiano wa watu watatu therapist,cancer oncologist na physicist....kujua maendeleo ya tiba huwa ni assessment inayofanywa na oncologist na diagnosis ya eneo husika

Hakuna anaeweza kukujibu clear chanzo cha cancer ya ubongo japo kuna risk factors kama radiation,na genetics
cancer yoyote huwa ni matokeo ya cell za eneo hilo kumisbehave na kuanza kukua tofauti na cell za kawaida
Amani ya bwana iwe nawe asee..
 
Je ni kweli kwamba simu zina mionz inayoweza kusababisha saratani haswa mtu unapokua unazungumza kwa mda mrefu mara kwa mara?
 
Hilo la kutoa matokeo tofauti na yaliyo kwenye picha linawezekana kwa MD wa kawaida lakini Radiologist ni specialist wa radiology hivyo ni ngumu kidogo kufanya kosa kama hilo
Kutoa matokeo yanayotafutiana ni ngumu sana labda mfano Radiologist A afanikiwe kuona pattern flani ambayo Radiologist B hajaiona hivyo report zao zitatofautiana lakini ni ngumu Radiologist A na B wakaitafsiri pattern moja kwa tafsiri tofauti
Makosa nnayoonaga yanafanyika ni kwenye daktari anaesuspect anaweza kurequest kifanyike kipimo fulani ambacho directly hakimsaidii mgonjwa

Kwenye case ya Ultrasound huwa ni utashi wa sonographer(anae kufanyia kipimo) hii hutegemea zaidi experience....
Imewahi nitokea, mtoto wangu wa kiume aliwahi ugua na baada ya kuonana na Dr akashauri apigwe X-ray ya kifua. Matokeo yakaonesha kuwa ana moyo mkubwa. Nikaamua kumpeleka kwa Dr mmoja specialist wa moyo, baada ya kuangalia ile picha akadoubt na akamfanyia vipimo tena na akaja na majibu tofauti kuwa Hana moyo mkubwa.

Vitu Kama hivi vinatuchanganya Sana na kututia presha mkuu
 
Kama kuna swali ulikuwa unajiuliza kuhusu fani nzima ya Radiology au Radiotherapy(tiba kwa mionzi),hapa ni mahali sahihi kuuliza
Kwa kifupi Radiology inahusisha uchunguzi wa magonjwa kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia aidha
1.Mionzi
vifaa vinavyotumia mionzi ni kama xray,ct scan,fluoroscopy,mamography
2.Mawimbi ya sauti(ultrasound)
3.Nguvu ya usumaku hapa kuna Magnetic resonance imaging(MRI)
Nataka kufahamu utofauti baina ya CT scan na MRI katika matumizi
 
Je ni kweli kwamba simu zina mionz inayoweza kusababisha saratani haswa mtu unapokua unazungumza kwa mda mrefu mara kwa mara?
hakuna prove ya hilo,mionzi ya simu ipo kwenye kundi la radio waves kwenye electromagnetic spectrum ikiwa na frequency kati ya 300 GHz to as low as 3 kHz...hii ni frequency ndogo sana haiwezi kusababisha bio effects kwenye mwili
 
Mkuu mleta uzi naomba kujua,unapopimwa kichwani kwa ile mashine ya CT SCAN au MRI je unapewa dawa ya usingizi kwanza?yale ma mashine yanaogopesha sana wakuu.
 
mkuu in dentistry(endodontics) wanapiga picha za x ray nyingi mda mwingine zinazidi hata 3 just kutibu jino moja.....sasa sijui unashaurije kuhusiana na hiyo exposure....
 
Back
Top Bottom