Uliza swali lolote kuhusu Radiology(Xrays, ultrasound) na Radiotherapy

Mimi siamini katika x ray, kuna doctor alimpiga xray mama yangu mdogo wakati alopokuwa na mimba na majibu akampa eti ana mapacha ke na me baada ya kujifungua bi mkubwa akatoa dume. Mimi naamini camera peke yake ndio inayoleta image ya kweli.
mkuu Hairuhusiwi kabisa kumpiga xray mama mjamzito itakuwa ni ultrasound
kitu chengine kutambua jinsia na kujua idadi ya watoto huwa haina clinical significant kwenye maendeleo ya mimba hivyo hiyo sio clinical mistake
 
"kutambua jinsia na idadi ya watoto haina clinical significant" mkuu sijakuelewa hapa,naomba ufafanuzi kidogo cuz pananihusu sana hapa.
 
Kwanini ct scan ni ghali sana
swali limekaa kisera zaidi lakini nahisi kwa sababu ya gharama za uendeshaji mashine yenyewe japo anayochangia mgonjwa ni ndogo sana ukilinganisha na gharama halisi
 
nimenunua note 8,
kwenye iris scanner ilinipa tahadhari nyingi ikiwemo kuweka simu mbali na watoto,je hii technology ina madhara kwa sisi watimiaji?
 
ultra sound inawezaje kutambua umri exactly wa mimba?
kwa miezi mitatu ya kwanza Sonographer huwa anapima ukubwa wa mtoto kutoka kwenye kichwa mpaka kwenye kiuno kadirio la atakalopata anacompare na tarehe ya mwisho ya mjamzito kupata period
baada ya miezi mitatu huwa wanaangalia volume ya amniotic fluid,ukubwa wa kichwa na eneo la kutoka kwenye kifua mpaka kiunoni
 
"kutambua jinsia na idadi ya watoto haina clinical significant" mkuu sijakuelewa hapa,naomba ufafanuzi kidogo cuz pananihusu sana hapa.
Hakuana daktari au midwifery anaweza mrequest mjamzito akapige ultrasound ili ajue jinsia yake kwa sababu kutambua jinsia ya mtoto tumboni hakuna faida kwenye kuhakikisha maendeleo ya ukuaji wa mtoto labda faida iwe kwa wazazi husika wenyewekutaka kujua jinsia kabla mtoto hajazwaliwa lakini hata mjamzito anapoomba kudokezwa jinsia ni nje ya miiko ya kitaaluma kwa mtaalamu wa ultrasound kumwambia ndio mana huwa haindikwi kwenye report ya majibu
 
nimenunua note 8,
kwenye iris scanner ilinipa tahadhari nyingi ikiwemo kuweka simu mbali na watoto,je hii technology ina madhara kwa sisi watimiaji?
mkuu sina utaalamu haswa wa hiyo teknolojia lakini nnachojua Sensitivity to radiation inapungua kadri unavyokuwa mkubwa kwa sababu rate ya cell differentiation inapungua hivyo watoto wapo kwenye risks zaidi ya kupata effects za mionzi kuliko watu wazima
 
Kama kuna swali ulikuwa unajiuliza kuhusu fani nzima ya Radiology au Radiotherapy(tiba kwa mionzi),hapa ni mahali sahihi kuuliza
Kwa kifupi Radiology inahusisha uchunguzi wa magonjwa kwenye mwili wa binadamu kwa kutumia aidha
1.Mionzi
vifaa vinavyotumia mionzi ni kama xray,ct scan,fluoroscopy,mamography
2.Mawimbi ya sauti(ultrasound)
3.Nguvu ya usumaku hapa kuna Magnetic resonance imaging(MRI)
Sijui swali langu lipo off topic, anyway odd one from other members.

He job flexibility ipoje? Per week unafanya kazi how many hours? Overnight calls? Do you have time for family? Fatigue?

Job market ipoje Tanzania? Private sectors na government? Demand? Or inakufa?

Competition ipoje? Nafasi ni chache na students wengi?

What about the pay? Both sectors do you think wanalipwa vizuri?

If you had a second chance, utachukua the same specialist?

Do you recommend it to other medical students?

Chances of being sued? A doc once told me hapa bongo it's nothing to worry since watz wengi hatujafikia hapa. Tho nataka kujua chances za human error. Je mna equipment za muhimu?

About me: med student, not in Tz. Future orthopedic surgeon, inshallah.

-callmeGhost
 
Over exposure ya xray tunaamini inaleta mutation ktk cell na kupelekea cancer kwa victim pia kuna baadhi ya cancer nimepata kusoma na kusikia kuwa zinatibiwa kwakuexpose sehem athirika katika mionzi.

Sasa kama mionzi uleta mutation na mionzi hiyo hiyo inatibu cancer. je, iyo mionzi ya tiba yenyewe huwa haina madhara kwa surrounding cells?

Swali lingine nini madhara ya MRI?
 
Mionzi inaleta mutations kwa chembe chembe za saratani na chembe chembe zingine zisizo za saratani ingawa mionzi huuwa zaidi chembe chembe za saratani kutokana na kasi yake kubwa ya ku-divide.
Weledi wa tiba ya mionzi umejikita zaidi katika kuelekeza mionzi katika saratani bila ya kuzifikia surrounding cells.
Kadiri mionzi inavyozidi kuzifikia surrounding normal cells ndio madhara ya tiba ya mionzi yanavyozidi kuongezeka.
 
Kwahiyo daughter cell haziko stable kama parent cell, kwamba kadiri division inavyoendelea kwa kasi ndio zinapokufa?

Sasa kwani cell zina kua kwa muda gani, na hii tiba inafanywa mara moja tuu au ni muendelezo hadi pale utakapo pona, kwasababu nawaza kwa mfn leo ndio ninaenda hospital kwajili ya procedure ya kutibu sehem iliyo kuwa infected siamini kama cell zitakua zinakua na kujidivide ktk muda huo
 
Sijui swali langu lipo off topic, anyway odd one from other members.

He job flexibility ipoje? Per week unafanya kazi how many hours? Overnight calls? Do you have time for family? Fatigue?

Job market ipoje Tanzania? Private sectors na government? Demand? Or inakufa?

Competition ipoje? Nafasi ni chache na students wengi?

What about the pay? Both sectors do you think wanalipwa vizuri?

If you had a second chance, utachukua the same specialist?

Do you recommend it to other medical students?

Chances of being sued? A doc once told me hapa bongo it's nothing to worry since watz wengi hatujafikia hapa. Tho nataka kujua chances za human error. Je mna equipment za muhimu?

About me: med student, not in Tz. Future orthopedic surgeon, inshallah.

-callmeGhost

job flexibility ipoje? Per week unafanya kazi how many hours? Overnight calls? Do you have time for family? Fatigue?
swali ni gumu kwa kuwa sijawahi kufanya kazi hospital as full time

Job market ipoje Tanzania? Private sectors na government? Demand? Or inakufa?
Market ni kubwa kote serekalini na private ukizingatia vifaa vinazidi kuongezeka jinsi mtaalamu anavyoweza kuji update ndio anazidi kuwa marketable

If you had a second chance, utachukua the same specialist? Do you recommend it to other medical students?
Yah second chance still ntasoma radiology sababu zipo nyingi

Chances of being sued? A doc once told me hapa bongo it's nothing to worry since watz wengi hatujafikia hapa. Tho nataka kujua chances za human error. Je mna equipment za muhimu?
Chanche ni ndogo kama kuna team work kwa sababu ni ngumu both radiologist na radiographer kutokushtuka hapa tunafanya mistake
 
Back
Top Bottom