TradingView Premiumhii setup naweza ipata wapi kwa tanzania?
Mkuu nakushukuru sana kwa elimu yako hii adhimu.Wale wawekezaji Wa kimataifa wenye Dola bilioni ambao hapa Tanzania ni Wa Ku hesabu na sidhani kama kumi wanaweza fika kabla ya kuwekeza kwenye stocks za nchi Fulani lazima waangalie hali ya utulivu Wa kisiasa ulivyo.
Ndo mana nchi iliyotulia kisiasa ni lazima kuendelea ila kodi lazima walipe tena wako strictly sana.
Mfano kuna Mortgage hizi ni share za kampuni zinazojenga nyumba ama apartments kupangisha na kuziuza huko nje demand ni kubwa sana.
Kuna miaka Fulani ivi japan waliwekeza kwenye kampauni Kama hizi huko USA ila kuna economic crisis ilitokeaga zikashuka Sana wakapata pigo kubwa. Ilikuwa ni ile ya 2008.
Saivi nyumba zipo nyingi huko USA zinataka wapangaji ama wateja Wa kuzinunua. Huko Dubai unaweza ukamiliki chumba cha hotel mteja akiingia unalipwa Hela na Uko hapa Tanzania.
Hapa Sina uelewa Mana sijajikita Sana na analogy. Mie Ni digital Basi kila kitu unamalizia nyumbani umekaa tu.Mkuu nakushukuru sana kwa elimu yako hii adhimu.
Leo, nina swali naomba kuuliza, Ni hatua gani ninayotakiwa kuchukua pindi nitakapokuwa nimepoteza cheti kile cha hisa whether cha champuni X ili kukirudisha/kupata kingine?
2. Kama nimesahau namba za cheti kile cha hisa ni wapi naweza kuingia online labda kwa kujaza taarifa zangu majina kamili and so so ivo ili kuweza kupata namba ya hisa zangu.
3. Na fail kupata return yangu ya mwaka kama mwanahisa kwenye account yangu mwanzo iliingia hela kwa mwaka wa kwanza lakn katika pilikapilika za kidunia card ya benk iliharibika nikairenew ndoikawa mwisho wa kupokea return yao japo it is very rare. Msaada pls nipate mwanga wa haya.
Yes must kanuni mkuu. Kila kitu kipo kikanuni hakuna ambacho hakipo kikanuni.kuna kanuni ya mwili wako kuhususiana na afya yako what to eat ,how to work ,how long to work, everything is Being abided by any kind of formula.Kanuni Kanuni Kanuni… Bravo
Follow them religiouslyHuman being has Born free but wherever he's in chain bila ya cheni binadamu haendi.
Make your own rules and be faithful to yourself. Follow them Flawlessly and Religiously
Mkuu smt mind or emotions zinani overpower. It's lifetime internal battle with myselfFollow them religiously
NakuelewaMkuu smt mind or emotions zinani overpower. It's lifetime internal battle with myself