50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 3,859
- 3,714
sisi hatumiliki sarafu, hatuuzi wala kununua sarafu wanaofanyaa hivyo ni wale wanaohusika mojakwamoja kwenye mtandao wa ECN, ila wewe unatumia mtandao mwingne wa broker unakuwezesha kuchambua mienendo ya bei inayotokea kwenye ECN network, ukikula broker anakulipa au atajua mwenyewe wapi achukue pesa akulipe na ukipoteza broker anachukua hela yako uliorisk kwa positions zako.. so unafanya speculation ya VALUE increase or decrease ya sarfu flani na sio unamiliki sarafu husikaa
of course!
shida ni kuelewa na kutumia nyenzo za speculation kwa usahihi na ufanisi. Hapo ndipo wengi (90-95%) ya washiriki wa speculation wanapokwama. Ujuzi wa technical ama fundamental analysis ama zote ni jambo linalosumbua wengi maana hizi mbinu zina academia nyingi. Saikolojia ya hela nayo inawaumiza speculators maana mchango wake kwenye mafanikio sio chini ya 80%.