Uliza software yeyote hapa

Uliza software yeyote hapa

Wakuu habari...?..nina uhitaji wakuupdate version ya htc one kutoka android version 4.4.3 kuwa version 5 or 6...naomba msaada
images.jpeg
 
Hallo vipi EXPERTGPS or EXPERTGPS PRO na crack zake full, itapatikana. Wao wanatoa trial tu. Haloo check hii kitu muhimu sana.
 
License ya one user 20000
Ebu iweke vizuri umesema iko cracked halafu unasema kuna licence au ni kama antivirus software tunavyonunua na ipi imekaa vizuri hapo ile pro au ile ya kawaida.
Na naipataje sasa ?
 
Nilikuwa naitaka hiyo kwa sababi ni latest version. Mimi nina 15. Nisaidie haya hiyo mkuu.
15 hata mimi ninayo tofauti yake ni kwamba 19 zile tracks za ku edit unaweza kuzijaza nyingi tu, na effects zimeongezeka. Na transitions na effects zipo mpya. Ngoja kesho nitakuhibu nipo mbali kidogo
 
Back
Top Bottom