Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

Mazingira ya chuo yako vp yanardhsha kwa kiasi flani au ndo bush ile mbaya??!
 
Kwa wale wataalam wa English language HV n sahihi kuiita kozi clinical officer???
 
Bila mademu wakali huwez pata elimu nzur, soma na vifaa halafu yule unayemtaman unaona live analiwa na kigogo fulani, unapata hasira unakomaa na kitabu unapata GPA nzuri.
Yani kwa ulichokiandika nafikiri somo kama Epidermiology au Pharmacology yanaweza yakakupa uchizi
 
Clinical medicine upgrading IPO hapo na vigezo vipoje? Ada yake tsh ngapi?
 
Mkuu hivi wameshaanza kutuma maombi ya vyuo hawa madogo walio maliza kidacho cha nne mwaka jana 2017
 
Back
Top Bottom