Patrioxylic
Member
- Jan 8, 2018
- 44
- 9
Yap chakulaChakula au
Yap chakulaChakula au
Na vipi kuhusu ada zao75000 kwa mwezi lakini wengi hawa hatfikishi gharama hizo labda wasichana
Na hosteri vpAda na mchango yote jumla ni 1000000
Sawa wewe vipi umeshamaliza hapoHadi gharama ya hostel ipo humo humo kwenye 1000000
Karibu ule mingoko
Ada ni sh ngapi?CH. Community health
CA. clinical assistance
CO clinical officer
Ph. Pharmacy
Kwa uandishi wako mkuu huu uzi utayeyuka..! Nilitegemea kukuta madini kuhusu chuo husika lakini hakuna ulichoelezea.Uliza chochote kuhusu chuo cha Afya mtwara nitakujibu