Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

Naomba kujuzwa timetable ya chuo, ni kipindi gani kinakuwa semester ya 1 na 2, mitihani ya mwisho huwa inafanyika kipindi gani na je wanatoa masomo ya jioni kwa wale ambao ni waajiriwa!?
 
Back
Top Bottom