Okay ahsante mkuuBado ila nacte wametoa tangazo kwa wale wanataka kujiunga na chuo mwezi march/april
Habar zeu. Naomba kujua jinsi ya ulipaji wa ada wa kozi ya pharmaceutical. Ikiqa ni Mara mbili basi ni kiasi gani kwa muhula.Uliza chochote kuhusu chuo cha Afya mtwara nitakujibu
Mara nyingi vyuo vya serikali havipokei waliomaliza miaka ya nyuma Sana,Kwa application za Mwaka huu hawajaainisha kigezo hicho, Kuna uwezekano wakachkua wa miaka hiyo yenu, Kwa usahihi zaidi jiridhishe kwa kuwapigia nacte kwene hotline zao.Naomba kuuliza mm nimemaliza 2012 form 4 na six 2015 je naweza omba kozi ya afya diploma vyuo vya serikali Kama Mtwara COTC
Brother kwan we hushatoka hapo skul?iv wale vibaka wanaotoka mdenga na chikongola bado wanakuja kuiba nguo tunazoanika apo kwenye viunga vya chuo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Washa watoleo matokeo ya nacte sup ya Level5 or bado?Uliza chochote kuhusu chuo cha Afya mtwara nitakujibu