Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

Uliza chochote kuhusu chuo cha afya COTC Mtwara

Nataka nijiunge hapo ukiachana na community health ambayo nimeshasoma kozi ipi naweza pata kwa ufaulu huu
CHEMISTRY - D
BIOLOGY - C
PHYSICS - SIKUSOMA
ENGLISH -C
GEOGRAPHY - C
MATHEMATICS - F
HISTORY - C
KISWAHILI - D
CIVIC - D
Msaada hapo wakuu
 
Phamacy wasoma
 
Naomba unitumie link ya kuangalia mjina ya waliochaguliwa kujiunga COTC mtwara mwaka 2019/2020
 
Oi samahan wazeia et kuna uwezekan wa kupata nafas kw koz y co serikalin kama uliomba mtandaon ukakosa
 
Oi wadau mwenye namba za simu au gmail ya newala school of nursing anisaidie tafadhari!!
 
Jmn yoyote anaesomea mtwara Cotc ninashida 0765394823/0620881498 anitafute ninashida
 
Back
Top Bottom