figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,498
- 54,923
- Thread starter
- #181
mwenzangu!, nilijua siku hiyo naua. dah! jamaa aliniumbua kwelikweli. lakini sikati tamaa sababu kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa uhunzi. miaMzee ulijua unaenda kupachua kitu cha kiunguja eeh,duh pole sana.