figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,494
- 54,906
- Thread starter
- #141
Pole kaka usijaribu tena you might end up somewhere very strange.
asante dada yangu. Mia
Pole kaka usijaribu tena you might end up somewhere very strange.
hii ndio hasara ya kumpapatikia m2 kupitia mitandao ya kijamii.usirudie tena kosa hili.
dada dena, mambo vipi? nlikumiss sana. jamaa moood isharudi?. Mkuu wewe hujakutana na matukio kama haya? Mia
Ha ha ha ha mie siwezi kukutwa na mambo kama hayo
Huwa mambo ya JF nayaacha hapa hapa siendi nayo zaidi.
BTW: Niko mzima mood ilisharudi siku nyiiingi
Figganigga mzima wewe? Enhe bado unaugulia tu jamani?
Hapo kweli ulicheza kamchezo kale kazamani kumfichua aliyefichama na haulewi ameelekea wapi/lkn ulifanya ziara na kusafisha vioneo.
Dogo unaniangusha,, we hujui humu hakuna watu halisi, ni programme tu ndo inaoperate. Hata mimi nimeprogramiwa kukujibu ivyo.
Mkuu nimecheka si kipolepole. Pole kwa mkasa. e bwana watu watakuwa wamejifunza kwako. Bahati nzuri sijawahi danganywa ivo, ila nshawahi kukutana irregular polygon moja,ina sauti tamu,lakini umbo+reception ni utata mtupu. mi nlijua angekuwa mzuri kama sauti yake lakini wapi bwana.
Mkuu mimi sijambo kabisa. vipi mambo? acha kujitenga, jichanganye au ndo ubusy. Mia
ubusy mkuu...naogopa kuwa goal keeper wanaume wenyewe wa siku hizi hamuaminiki... Acha mtoto wa kike nihangaike.. Halafu ungeniambia umeenda zenji ningeku direct kwa bibi angalau akakupikie biriani upunguze machungu ya msoto...
mkuu nilifanya siri eti watu wa jf wasijue kama tunawasiliana na huyo she. ningejua kama inakuwa hivi ningekuambia tu dada angu. nina mpango wa kwenda tena mwezi wa tatu. ntakustua. usijari wala nini. pamoja sana. Mia
Ungenunua sabuni mkuu mia kuondoa maumivu...lol
pole.:lol::lol::lol:
akuache kabisa sababu sasa hivi nmekuweka chini ya uangalizi wangu kabla sijakuface live. Mia