Uliyataka Mwenyewe

Hahahhahaha lol.....aisee! Mwenzao mwepesi kama karatasi lol!
 
Kuna haja ya kulala na mawe mfukoni ili kuongeza uzito
 
Jamaa mwepesi kweli ni lazima ilikuwa mwezi wa Ramadhani; shauri ya kufunga kilo zimepungua!!
 
hawa ni watu wazima ila kushney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…