Philipo Kidwanga JF-Expert Member Joined Jul 12, 2012 Posts 2,042 Reaction score 604 Aug 16, 2012 #21 watu wa kanzu wanauhusudu huo hata kwenye hitima wanaununulia ndizi.
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,924 Reaction score 4,595 Aug 16, 2012 #22 Wali maharage kipindi hicho ni noma
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Aug 17, 2012 #23 :spy::spy::wacko::wacko:
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Aug 17, 2012 #24 Duh kali
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Aug 17, 2012 #26 Daaah..siku ukipikwa huo ubweche watoto tulikuwa hatuchezi mbali..halafu ukimaliza kula hunawi mikono ili ukalingishie watoto wenzako kwamba kwenu mmekula kitu cha mpunga.
Daaah..siku ukipikwa huo ubweche watoto tulikuwa hatuchezi mbali..halafu ukimaliza kula hunawi mikono ili ukalingishie watoto wenzako kwamba kwenu mmekula kitu cha mpunga.
Paw Content Manager JF Staff Joined Nov 14, 2010 Posts 2,114 Reaction score 1,386 Aug 20, 2012 #27 Kuna jirani yetu ambapo kwao wakipika cheche (wali), alikuwa anabandika tangazo mlangoni kwao TUMEHAMA.
Kuna jirani yetu ambapo kwao wakipika cheche (wali), alikuwa anabandika tangazo mlangoni kwao TUMEHAMA.
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 23, 2012 Thread starter #28 Huyo mtoto anapata shida sana Baba yake kwa jinsi alivyo!
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 23, 2012 Thread starter #29
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 707 Aug 23, 2012 #30 Is that why your minder is folding the cross on your headgear? GOD
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Aug 23, 2012 #31 Sijapata picha
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 707 Aug 23, 2012 #32 I don't see anything embarrassing. The guy is jovial but seems to be a bad dancer that's all. The kid is asking for ice cream.
I don't see anything embarrassing. The guy is jovial but seems to be a bad dancer that's all. The kid is asking for ice cream.
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,533 Reaction score 30,085 Aug 23, 2012 #33 mkuu umewehuka au?...
Joeli JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 4,941 Reaction score 3,417 Aug 23, 2012 #34 uchizi huanza polepole
kitalolo JF-Expert Member Joined Dec 4, 2006 Posts 1,827 Reaction score 708 Aug 23, 2012 #35 MadameX said: Sijapata picha Click to expand... ngoja nitakutumia halafu swali la kizushi mbona kila siku tu umevaa nguo hiyo hiyo badilisha bana
MadameX said: Sijapata picha Click to expand... ngoja nitakutumia halafu swali la kizushi mbona kila siku tu umevaa nguo hiyo hiyo badilisha bana
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Aug 23, 2012 #36 lazima kuna shida hapo!
Good Guy JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 3,822 Reaction score 1,434 Aug 23, 2012 #37 Dah kaka pic yako hata cielewi, maelezo kidogo yanahitajika. I the mean time jamani nimekosa captation ya hapa
Dah kaka pic yako hata cielewi, maelezo kidogo yanahitajika. I the mean time jamani nimekosa captation ya hapa
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,621 Reaction score 4,312 Aug 24, 2012 Thread starter #38
Adrian Stepp R I P Joined Jul 1, 2011 Posts 2,764 Reaction score 2,609 Aug 24, 2012 #39 akifanya hivyo Boflo na makimba atayaacha hapo hapo
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Aug 24, 2012 #40 Hapo usipochukuwa tahadhari makande uliyokula yote yanatoka