Uliyataka Mwenyewe

Hata hii mbaya sana!
 
Kila kazi ina hatari zake. Nawapo pole wote walio fikwa na maafa hayo.
 
hahahahahaha....Asanteni kwa kunichekesha
 
Kwa wale wanaokumbuka siku kikipikwa chakula kama hiki basi enzi za utoto wangu tulikua tunaita chakula hiki cheka na watoto.
 
Basi nakumbukia wakati Mama anatupikia Wali tunakwenda mtoni halafu tunanawa kwakusugua miguu inakua myeupeee!!! nyie wacheni tu.
 
Reactions: Paw
Kumbe hizi Brazia wanazovaa dada zetu huwa zinavaliwa mpaka kwenye Makalio?
 
Sasa huyo si mtoto jamani, haziwezi kutosha kwa kina dada/mama wakubwa hasa hasa wabantu asilia
 
Good Women - They Can Bring Balance to Your Life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…