Uliwezaje kuvuka maisha ya upweke na usingle?

Sawa mkuu ngoja nitafute bhana unifariji na hii Valentine's [emoji22][emoji22]
 
Mwanzo niliteseka sahivi nimezoea bro imechukua miezi 6 upendo wangu kwake kufa sahivi hakuna tena hata chembe ya upendo juu yake na maisha ya peke yangu ndo ya furaha kwahiyo na wewe utazoea taratibu
 
Upweke ni hatari Mkuu

Mwezi January nimepeleka Wanangu wote Shuleni - Bweni.

Pamoja na uwepo wa Bibi yenu, lakini bado nyumba naiona kubwa sana wakati huu as nilizoea zile pilikapilika zao za Mwezi December.

Nafikiria Upweke tutakaouishi watakapokuwa Watu Wazima na wameondoka nyumbani.

Fanya uoe walau utapata mtu atakayekuwa anakujali utakapokuwa unahisi Upweke
 
Mwanzo niliteseka sahivi nimezoea bro imechukua miezi 6 upendo wangu kwake kufa sahivi hakuna tena hata chembe ya upendo juu yake na maisha ya peke yangu ndo ya furaha kwahiyo na wewe utazoea taratibu
Aisee mzee hii mbaya sana unakuwa kama upo peke yako kisiwani sema maisha lazima yaendee ntazoea taratibu
 
Babu yani leo nimeamka nimewaza sana sana nimekuwa mpweke aisee [emoji22] kuna umuhimu wa kuoa aisee ngoja nizichange mambo yakae sawa nivute jiko.
Yani Kama hii Valentine's even a text olaa! Dah! Babu niombee
 
Kuoa Muhimu Mkuu

Kuoa kunaongeza uwezo wa Mwanaume kufikiri na ku-solve changamoto zake za Kiuchumi.

Zamani ilikuwa kawaida Mwanaume Kuoa mapema sio kama ninyi miaka yenu unakuta Mwanaume anaoa akiwa na miaka 45, ilikuwa kawaida kumkuta Kijana wa miaka 20's tu akiwa tayari na familia yake πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…