Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,809
Mmeanza 😂😂😂😂umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
😂😂 kuna time mkuu pesa inachomoa. Muulize mtoa madaPESA
PESA
PESA
Niliozwa wake wawili wakati na miaka 18 na hawakunitosha. Soma;Aisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Tafuta wimbo wa Mwasiti unaitwa SEREBUKA utakupa faraja sanaAisee! Ukiwa single unakuwa mpweke sana unakuwa Kama umete gwa kwenye kakisiwa kako uko Ukerewe ndani ndani. Kuna muda mpaka unapata mawazo ya kuanza kuwaza umri wako wa miaka 30 plus aisee hii mbaya Sana.
Wapendwa mniombee in magu voice!!
Njoo tuishiMimi kwasasa sijui ndo nmezoea upweke. Najionea sawa tu.
Unazo za kumwaga na unakula za uso vile vile unajipoza kwa kununua special delivery unakula unanawa unaenda zako,😂😂 kuna time mkuu pesa inachomoa. Muulize mtoa mada
😂😂 kuongea mpaka kesho hiyo.Ile hali unarudi ndani halafu pako kimya.
Hakuna wa kukupokea Wala kukuongelesha.
Unajikuta simu na Tv ndio mfariji wako.
Halooo.
Kuongea na mtu live mpaka kazini tena
😂 😂 😂 😂 😂 😂Kumània zao
PM yako IPO wapi au imefungwa?Mimi kwasasa sijui ndo nmezoea upweke. Najionea sawa tu.
Haaaaaaah leo sijalala sobber nimelala na akili yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimepata mawazoMmeanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikiri ni swala la kuoa tu kaka sometimes unakuwa unawaza ata wakukutakia usiku mwema au Happy Valentine's my love unakosa dah!!Kuoa ni kuzuia umri usiende?
Ni afadhali kuishi kwenye kisiwa Cha Ukara pekeyangu kuliko kuoa haya mazwazwa yasiyo na shukrani Wala utu. Kumània zao
Duh kuna muda hii inagoma kaka pesa sio kila kituPESA
PESA
PESA
Ngoja nipitie hizi notes mkuuNiliozwa wake wawili wakati na miaka 18 na hawakunitosha. Soma;
Simulizi: Umalaya na Ukahaba wa Kishua
Episode 1: Introduction. Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yalivyotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa wasomaji. Hivi ni visa vinavyotokana na matukio ya ukweli kwa kiwango kikubwa. Tutatiriririka navyo...www.jamiiforums.com