Uliwahi kopa hela kwenye app za online, ilikuwaje?

Wanaunda group lako Mdaiwa, halafu wanaweka ile picha ulipiga unahakiko taarifa zako, halafu wanawadd wote walio katika simu yako kwakua watu wengi wanakua wameruhusu wao ku access contacts zako zote katika simu bila wewe kushtukia mapema! Then udhalilishaji unaanza, mbaya zaidi hela yenyewe ni dusko tu, aiseee.
 
Hii haijawahi nikuta.nlikuwa nafuta majina yote ya watu muhimu naacha machache tu.afu ndo makopa.
Alooo 🤣🙌
 
Back
Top Bottom