Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Asante sana.

Nilichojifunza kutokana na kisa chako ulicho-share ni kwamba. Mwanamke akishajiona hana la kufanya tena ndio anarudi kwa sisi 'bwege mtozeni' ila akiwa anatakwa sana huwa mambo ni magumu sana.
 
Kakukubali bahati mbaya..
Maana am sure she wasn't single mlivoonana Makumbusho.
Ila umetokea wa ahueni ya alienae mda huo. Si ajabu pia anapima kwanza kuona ka bado unamshobokea ka mwanzo. Akicomfirm tuu umo basi gwaride litaanza(kukutesa)
Asante sana dada.

Yawezekana anataka ku-boost her esteem.
 
Asante sana kaka. Kuhusu swala la kulika akiwa chuo hilo halina ubishi. Ni msichana mzuri sana
 
Sawa kaka, acha nijaribu urafiki.
 
Ila kaka ulifika mbali sana, mpaka kuchana mwili na wembe ?
 
Kakutesa sana....mkamate


Chapa haswaaaa mpaka ilale...then ukinogewa oa...usiponogewa tupa kule utakua ushamaliza hasira zako za kukataliwa na usumbufu.
 
Una busara sana... Naunga mkono hoja
 
Acha ufalaa wewee!!

Huyo hakupendii..

"She" mmoja nilimuuliza kwangu kimebadilika kipi mpaka thamani yangu uione sasa? Au kwa vile uligundua kipindi cha nyuma nilikupenda sana kwa hiyo ndiyo utautumia huo udhaifu kwa sasa? Yaani mimi uni treat daraja la mwisho? Mimi si wa hadhi hiyo!

Kanisumbua weee mpaka nikabadilisha namba. Akaipata tena! Nikaona ustaarabu utaniponza! Nikampiga biti matata! Kanywea mpaka sasa!
 
Kaka nashkuru sana. Nimeelewa sana hayo maelezo niliyoya-bold.
 
Kwani wewe mleta mada, ujawahi kuwakataa mademu waliokupenda ila baadae ukagundua wako fire kinyama
Kiukweli sijawahi kutongozwa na mwanamke mimi, kwahiyo hakuna mwanamke niliwahi kumkataa. Ila labda kukataliwa ndio sana tu.
 
Mwanamke wa hivi hapendi....anatafuta kula yake tu...

Na akishashiba atakubadilikia hutaamini.
Upo sahihi brother!

Kuna jamaa alileta Uzi humu tena mke amemsaliti amerudi kwa jamaa wake wa kwanza. Jamaa anajichapia tu. Mazingira yalikuwa hivi hivi kama ya mwana aliyeleta Uzi.

Kwa kifupi huyo demu amemuona mwana ni daraja la mwisho la kupunguzia maumivu yake. Anatumia udhaifu wa jamaa kwa vile mwana alimpenda.

Laiti akirudi bwana wake wa nyuma akimwambia yaishe jamaa atawekwa tena kando!
 
Haina shida maana hiyo sio nyumba ya jamaa, ni ya kupanga. Akiona demu analeta za kuleta anahamia kwingine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…