Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

Wakati naongea na demu wangu Y kwenye simu nikasikia sauti ya mtu anaimba nikamuuliza huyo nani anaimba akaniambia ni mtoto wa mama ake mdogo nikamwomba niongee nae japo nimsalimie akafanya kosa akampa huyo dogo namba yangu ilituwe tunawasiliana badae nikaja kumega wote
Hahahaha...sifa wepesi
 
Daaah!! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti,
Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu

Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada
Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli
Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana
Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
Hao mashemeji zako huwa wanapataje namba yako hadi mnawasiliana?
Kwa marafiki zao
 
Hii ishanitokea aisee nliulizwa swali la kizushi na best yake dem “ivi unajua kuwa mi nakupendaga” Akaishia kuwa dem wangu ni nikawa kwake na kwa kwa rafiki yake.
 
Si kitu kizuri kwa wadada kwenda na rafiki kwa boyfriend ingawa katika mawazo yao hufanya hivyo siku akijisikia hataki kugongwa siku hiyo, kumkoga tu rafiki yake au pia kukutega na kukujaribu mwanaume aone misimamo yako. Inawezekana hata hiyo ya binti rafiki kujitongozesha kwako ikawa ni planned. Hivyo inabidi uwe makini unaweza kuwakosa wote!
Weee!! unacheza na mauono ya kisukuma wewe!! demu umkatie kiuno cha kisawa sawa mpaka ananyanyukia akuache??? maajabu haya, atakuwa hajakupenda wengi hata wakigundua wanasema tuchukue wote tuwe wako!! tuoe!! mzee unaruka tu mara huku mara kule halafu mtu na mdogo wake wanatuliaaaaaa
 
Hii ishanitokea aisee nliulizwa swali la kizushi na best yake dem “ivi unajua kuwa mi nakupendaga” Akaishia kuwa dem wangu ni nikawa kwake na kwa kwa rafiki yake.
Wanachanganya sana hawa
 
Mi nilishapiga marafiki wanne kwa wivu kila anakuja kivyake gheto nabandua na wana boy wao
 
Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu

Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada. Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli

Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana. Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
Kawaida ya mademu hata kama anakutega usipopiga ukijifanya et una msimamo wanakuona boya..
 
Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu ana bahati natamani hiyo bahati iwe ya kwangu

Daah mimi nikashindwa kumwelewa kabisa huyu bi dada. Sahivi imenitokea tena baada tu ya demu wangu kuja geto na rafiki yake, sahivi rafiki yake ananisumbua kweli

Tena anadai eti ananipenda sijui haoni kama nipo na rafiki yake, mademu bhana. Kama imeshawahi kukutokea ebu changia ulikwepaje huu msala?
Mle na mtembelee kwa mpalange

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom