Ulishawahi kupekua au kuchunguza simu ya mpenzi wako au mkeo?

Niliwahi na nilichokutana nacho niliapa kuachana na hicho kiherehere kabisaaa maana ilibidi tu niachane nae. Sikuweza tena kumpenda na kila nilikuwa nikimtazama napatwa na hasira.
Mimi kuna demu kaniachaa,
Sasa anajisifu kwakuniachaaa....

Lkn laiti angejua nimetafuta sababu za kumuacha nikawa nakosa mwisho wa siku kaondoka mwenyewee.....

Pengine waweza fikiri kumuacha mtu ni kumkomoa kumbe ni kumuokoaa.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last week mchepuko wng ulikuja ofcn kwng sasa ukawa unapekuapekua simu yake, badae akanipa niangalie picha ambayo alikua amejipiga afu ameipost Fb, kwaujinga wng bada yakunipa Mimi nikanza kuipekuapekua kwa bahati mbaya nikaona picha ya kijana wakiume nikauliza Darling wng huyu ninani? Duh visa vikanzia hapo, nipe simu yng kwanini unaikagua mara haikuhusu sasa ikabidi ainuke kiti cha wageni aje kunisimamia kwenye meza ya kazi, nlichofanya nlimpa cm yake then nikamuonyesha mlango and that was the end of our relationship, namuonaga tu akiwa online lakini its a week now hakuna cha salaam wala nini
Ulimuacha?
 
Ndani ya ndoa ni mtu mmoja ndiye mkuu wa ndoa ambae ni mwanaume, binafsi kwa upande wangu huwa nakagua sana cm ya mke wangu na kupewa maelezo ya kina pale ambapo huenda nimetilia mashaka ila sijampa nafasi ya kukagua cm yangu maana niliaswa na wazazi wangu na wake kuwa mwanamke hapaswi kuwa juu ya mme bali mme atakuwa juu siku zote, na hapa nikili nilikuta namba moja baada ya kumpigia nikagundua ni kijana alokuwa anataka kudukua utam wangu sikukawiza nilishusha kipigo cha mbwa mwizi leo miaka miwili sijawahi kuona upuuzi tena.
Hahaha udikteta sasa huo
 
Me sipekui, Ila ninaishika anytime nikitaka na yeye mwenyewe akiwepo, na ntaendelea kuishika tu as long as we are together. Yangu ipo freeeee, yeye tu. Kama kunakupata presha kisa mwenzio utazipata tu, siku utayoanza kuumwa visivyoeleweka, au siku utakayoletewa watoto ada imeisha au siku atakayopost picha zake za harusi, it's just a matter of time. Nimeshashika sana, nishakutana na mengi, nashukuru yalinisaidia kutokuendelea kuinvest kwa wrong people, sijutii kushika simu na sitojuta. There is no Privacy when it comes to HS. Be free, ntajisahau hata kushika gadgets zako

Thats what i always fear of, unaeza achwa solemba ukafa na stress after all those good years mlizokuwa wapenzi na faraja za dhati unazopewa kumbe ni unafiki mtupu. Kweli ni aheri japo yaweza kuwa chungu sana. People are so evil these days it cost alot to trust a person blindly also remember honesty saves each others time. Tupo kwenye ulimwengu wa watu ambao wengi ni wanafiki sana, sio siri upekuzi umekuwa msaada mkubwa kwangu so far japo imeniumiza mara nyingi. Sintoacha.

Sitosahau niliwahi danganywa kuna birthday ya workmate iliozuka ghafla tu. Mchuchu alitaka ku cancel outing plan tuliokuwa nayo toka week imeanza ili tu kwenda kuonana na X wake ambaye alipita hapa mkoani kikazi. Too bad i had all the infos tangu jamaa anakuja ila sikumsanua manzi. Jamaa alivyopita alimcheki akaenda mkoa wa jirani akahaidiana nae akiwa anarudi atapitia hapa waonane then asepe. It was a very huge suprise maana siku ananletea hizo swaga za birthday ndo ilikuwa siku ya miadi yao, nilimbana akashindwa pa kutokea.

I knew it was a plot, i asked to go with her kwa hio birthday kama ya kiofisi kweli akawa anagoma asking, ooh kwani we ndio umealikwa? Nilimwambia to short and clear, hakuna ku cancel plan kwa ishu ya kipuuzi kama birthday ya office afterall hata usipoenda it doesnt change a thing, kama kufanyika itafanyika tu, alipoanza ubishi nikammaliza kwa kumpasulia A to Z sasa kama ataforce kwenda aende ila akirudi ajue mi na yeye we are done. Alishikwa na aibu hakuwa na ujanja tena akatulia tuli!
 
Back
Top Bottom