Ulishawahi kupekua au kuchunguza simu ya mpenzi wako au mkeo?

Hahaaa!! Yani wanaume bwana, akosee yeye alafu awe mkali yeye, sijui hata kicheko kilitoka wapi, yaani nilicheka, nikageuziwa kibao.
Unaanzaje kucheka??? Hizo ni zereu....kama zereu nyingine.
 
Niwahi kuangalia nikakuta ametumiwa msg ya tigopesa, nilipomuuliza nani akasema kaka yake.
Nikamwambia mpigie simu umwambie asante kwa loud speaker tusikie wote, akaanza kutetemeka, alipompigia hajui aongee nini akamwambia asante halafu akakata simu.
*Baada ya dakika 2 jamaa akamtumia msg "baby mbona sikuelewi, unajua mimi nakupenda nakupigia simu hupokei unatatizo gani?"

Siku nyingine, demu mwingine wakati tumelala nimepitiwa na usingizi akazisoma msg karibu zote inbox, kuja kushtuka ndo anamalizia malizia..dah msg aibu, nyengine za mademu nyengine nimemponda.
*Tangu siku hiyo mpaka leo simu yangu haikai na msg na delete. Zaidi ya miaka minne sijawahi kurudia kosa na nipo makini mpaka kusave contacts name.
 
Unataka uchungulie ili ugundue nini labda?? Kwani huniamini.....
Yaani sio kuchungulia, bali
Ni kuitumia wakati wowote nitakapo/atakapo..........

yaani nashangaa watu mnavuliana nguo na kuonyeshana sehemu zinazotakiwa ziwe siri halafu simu kitu ambacho sio siri kinabanwa banwa na nywila kibaaao


Hakunaga aisee

Kuibana bana ndio kunaleta maswali ya kutoaminiana....
 
Uchunguzi ni wanasayansi na Upekuzi kazi ya police Mimi sijawai fikilia hilo maana ata kumuacha sitaki sasa stress za nini
 
Mie huwa naiiba nasoma ila mara chache sana, ila nikikuta sielewi siwez vumilia ata dakika lakini sijawah kukuta kitu cha kulipua moyo kabisa anajitahid kwakweli kama anaficha naamin kwa sabab ananiheshimu, loh mie sasa nilikua na mazoea mabaya na wanaume my thought ni kuwa njia rahis ya kumkataa mwanaume ni ile kwenda kiplayer basi nilikua na chatting za aib. Mwenyew nikisoma baadae nafumba macho nikawaza siku akishika hii simu ataamin kuwa hizi ni chatting tu loh ikabid nianze kupunguza mazoea na watu ya kuchat ushenz ushenzi nimefanikiwa nashukuru, na najiona niko huru hata akigusa simu yang huwa siwazi nikumbuke kufuta text kabla ya kukutana najua zilizomo zina maelezo ya kuridhisha.
 
Me nilikuta sms "penzi ulilonipa jana ni tamu sana "nilijistukia tu nipo jela sijui nini nilifanya
 
Kumekuwa na uzi mwingi sana kuhus watu kupekua sim za wapenz wao. Binafsi naona kupekua sim ya mpenzo wako sio kosa japo sio jambo zuri kabisa ni hatari.

Ishu inakuja kama utafanikiwa pekua utakachokikuta iwe siri yako usipaniki coz uliyataka mwenyew. Kama unapresha au stress please don't do that utakuja kufa bure.

Asilimia 99.9% watu huwa hawatoki salama kabisaa, na kama ulitoka salama basi ww mbinguni utaenda tiketi unayo, na huyo mpenz wako usimwache.

Je ulishawai pekua simu ya mpenz wako ukatoka salama???


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumekuwa na uzi mwingi sana kuhus watu kupekua sim za wapenz wao. Binafsi naona kupekua sim ya mpenzo wako sio kosa japo sio jambo zuri kabisa ni hatari.

Ishu inakuja kama utafanikiwa pekua utakachokikuta iwe siri yako usipaniki coz uliyataka mwenyew. Kama unapresha au stress please don't do that utakuja kufa bure.

Asilimia 99.9% watu huwa hawatoki salama kabisaa, na kama ulitoka salama basi ww mbinguni utaenda tiketi unayo, na huyo mpenz wako usimwache.

Je ulishawai pekua simu ya mpenz wako ukatoka salama???


Sent from my iPhone using JamiiForums
Me nilipekua nikakuta anatengeneza mazingira ya kumkopa mwanaume ambae alikua anamtaka zamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom