Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Yani daraja la maji kivipi haji yanapita juu au chini. Nieleweshe
Wachina wangelijenga kwa miaka 2 tu.
onyinyeYani daraja la maji kivipi haji yanapita juu au chini. Nieleweshe
sio kweli reli ya kati mbona ipo mpaka leoNa lingedumu kwa miezi 6 tu.
sio kweli reli ya kati mbona ipo mpaka leo
Duniani hakuna kinachoshindika.... Uhai tu ndio unashindikana ila vilivyobaki vyooooote vyawezekana!!
duh picha hiyo niliiona 2008 wewe umeileta leo khaa!
duh picha hiyo niliiona 2008 wewe umeileta leo khaa!
duh picha hiyo niliiona 2008 wewe umeileta leo khaa!
Kwani boti za huko zinaogopa maji ya chini?Maji yanapita juu ya daraja!! kwa ajili ya boti kuvuka.
Msamehe saba mara sabini.acha ushankupe mbona hukuileta hapa etii niliiona tangu 2008 wakuja bwana utawajua tu na balee zenu zilizowakuta kijijini
Sipati picha siku likija kutoboka kama ozone layer, jinsi gharika itakavyokuwa kwa hao wakazi wenye nyumba pembezoni. Bila shaka ukipata kiwanja cha kujenga hapo unapewa na boti ya kujiokolea/boya/life jacket.Magdeburg Water Bridge - Germany - 500 Million Euros, 6 Years to build, 918 Metres in length
View attachment 106760