cuchi
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 218
- 74
Sipati picha siku likija kutoboka kama ozone layer, jinsi gharika itakavyokuwa kwa hao wakazi wenye nyumba pembezoni. Bila shaka ukipata kiwanja cha kujenga hapo unapewa na boti ya kujiokolea/boya/life jacket.
hahahaha umewaza mbali mkuu