Kipind iko chuo tumepanga mageto kulia chumba changu kushoto chumba cha mwanang xx kila mtu alikuwa na funguo ya mwenzake (tuliaminiana coz alikuwa mwana na pia ni ndugu) basi ilikuwa usiku mmoja XX akanichek ilikuwa mida ya saa 5 iv akaniuliza kuwa nitarud au ndo mpaka majogoo maana mm nilienda kwa mfugo wangu nikamwambia 50/50 .

Kumbe wakati ananiuliza alikuwa na mifugo miwil halafu hakunitonya mmoja akaueka kwake aishi nao mwingine akauweka geto kwangu kule.

wakati huo na mm nimefata mfugo wangu mbagala uko na sikufanikiwa kuishi nao dahh nikaishia kukumbatiana nao na romance tu. Ila nikaona jau kumwambia mwanang XX maana huwa ananichekaga sana so ikabid nipite maeneo kuchangamsha akili na kutuliza ukwilo

Dahh nilikuwa hyper kinoma nikanyaka boda kurud kwangu nikapindue nikafika saa 7 iv duhh nafika nasikia sauti za mahaba kordoni nafika pale maeneo ya vyumba vyetu ndo ikazid nikajua mwanangu XX kakamia shoo anaishi na mfugo wake dahh nikajisemea moyon leo hapalaliki humu ninamzuka kinoma nataka kulala mwana anakula mzigo dahh najua wanaume wanaelewa ile hali mtu unakuwa.

Basi nikafungua mlango wangu kinyonge lakin chakushangaza funguo ikawa inagoma ghafla ukafungua mfugo mmoja iv mkali balaa nilipata kiwewe kuwa nikimbie au nipige yowe nilikuwa narud nyuma akaniongelesha nikajikuta nimeita XX ee XX ee jamaa kutoka mfugo ukarud ndan ndo XX akaniambia dahhh nilianza kuwaza kwa kichwa kidogo na vile nilikuwa hyper nikajisemea moyon leo ni leo........
Bwana mifugo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom