Kwahyo unachojaribu kusema ni kwamba ulinunua malaya wawili ukalala nao... hii cyo ya kimasihara mkuu!!!
 
Mkuu ndio tuko mwezi wa kwanza hyo miez minne imetoka wap?
 
Nitakuja na ya kwangu wakati nipo lebanoni mwaka 2015 kipindi icho nikiwa mlinzi wa amani nilivyokula tunda kimasihara la askari wa jeshi la ufaransa....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787] am kidding natania bhana utanzia wapi kula tunda kimasihara mana kila nchi wana special duty yao na muda wote mnangaliwa natania aiseee....
 
CHAI [emoji477]...Nyimbo ya BENPOL -( MOYO MASHINE) Miaka 10 iliyopita ilikuwa bado haijatoka
.
.
Pole Bruh[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeh...umemwaga chai ya watu
 
Matokeo tayari mkuu,vipi katoboa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…