Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,612
NILIVYOLIWA KIMASIHARA NA BOSS WANGU;
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa kwenye NGO moja iliyokuwa inajihusisha na tafiti hasa za HIV/AIDS.
Sasa tulisafiri wengi kila mmoja mkoa wake mimi nilipangiwa mkoa wa Manyara Nikapita Mbulu, Kateshi, Galapo, Hanani, Mirerani, Galapo,nk
Sasa tulikuwa tunasafiri wawili wawili mkoa mmoja na mwenyeji wetu alikuwa ni Mkuu wa Mkoa kila tuendapo tunapewa wasaidizi na maelekezo tunaendelea na kazi ya kuzunguka na kupima watu mitaani.
Siku moja boss wangu ambaye ni kama mama wa kunizaa kabisa kiumri akapita Manyara kutokea Arusha akanicheki na kuniambia kuwa atashuka Manyara kuna mambo anafuatia nikamwambia sawa bhana.
Jioni yake akawa ashafika mm niliweka Destination Babati mjini so nikawa nimeka mizigo yangu pale hata nikisafiri nje sana narudi usiku au baada ya siku.
Bimkubwa akawa amefika Babati akaniambia upo wapi nikamwambia nipo Galapo ni nje kidogo sana ya babati mjini akasema unarudi saa ngapi nikamwambia kuwa ninarudi saa12 akasema yupo around town ashafika anapata moja baridi moja moto.
Enzi hizo nikisikia moja baridi moja moto mwili unasisimka kwa umero wa beer.
Nikafika fasta nikamcheki fasta nikaungana naye nikakuta yupo peke yake hana mtu yeyote nikasema kulikoni leo yupo peke yake but nikasema sio issue coz huwa alikuwa ananipenda sana kama mwanae so sikuwa na hofu nikaanza kupiga monde.
Nikanywa Beer tatu huku anakunywa wine akanishawishi nionje ile wine ya dodoma nikaionja sio siri ipo poa sasa ile kuchanganya nakula beer na wine zikanikolea fasta tu yani beer 5 na wine glass mbili nishaanza kuhisi kuwa she's my age mate huku yeye kaingiza mkono chini ya meza anachezea rungu nyege zimempanda mimi pombe imekolea sielewi kitu.
Akaagiza nyingine bhana tukanywa sana aisee you can't believe lile jimama halilewi mimi chakari sijielewi asbuhi ninanikuta kwenye lodge ya ile bar kama nilivyozaliwa
Nikasema Mama yangu hili jimama limenibaka na sijatumia hata condom nikajua nimeisha.
Nikaanza kujuta yale majuto yakanifanya nikaumia moyo sana na kutapika hatari huku jimama likiwa kitandani linakoroma tu.
Nikamwambia kwanini umenifanyia hivyo anasema nilikuwa ninakupenda sana na nimetoka Dar kuja huku kwa ajili yako nikamwambia unaonaje tupime afya zetu ili niinusuru nafsi yangu akakataa katu katu.
Huwezi amini siku hiyo hiyo akasepa coz tulishindwa kuelewana kabisa nikasema kikazi chenyewe sikitaki tena afya yangu ni bora kukiko ile kazi.
Akanifariji kwa simu kuwa hana ukimwi sema tu hajiamini coz mumewe hajatulia akanipa moyo sana kuwa nijiamini tu niendelee na kazi nikirudi Dar tutapima na ameshapima mwenyewe yupo sawa so it's better tukacheki pamoja.
Nikajikaza kisabuni nikamaliza kazi but moyo ukiniuma sana nikarudi Dar kila nikimgusia acheki anapiga chenga mm sikutaka kucheki coz ilikuwa ni mapema mno nisingeona kitu.
Baada ya miezi mitatu nikacheki Alhamdulillah nilikuwa salama kuanzia pale mazoea mm na yy yakawa ni kazi tu.
Niliachaga kazi pale mwaka 2015 baada ya kuamua kuendelea na masomo.
Fundisho; Kula kimasihara kupo, ukimwi upo, tuchukue tahadhari ndg zangu pombe si chai mimi niliapa kutokunywa tena pombe na huu ni maka wa tano sijagusa.