Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

1. Siku moja 2016 natoka Msamvu kuja magetoni Modeko, njiani nikamkuta mrembo tukaongozana njiani. Mara story nikamwambia tupite home kwangu upaone tu, hata bila kutongoza nilifikisha geto tukafika tunatazamana tu, kilichofata ni kuvuana nguo na kupiga show.
Hatukuonana tena zaidi ya sms za kawaida na mawasiliano yalikufa baadae.

2. Mwaka 2017 nikiwa R-Chuga nilimwita mrembo mmoja kwa kumkonyeza tu. Akaniuliza, unasemaje? Nikamwambia njoo nikweleze, tukaishia kuvuana na kupiga mechi kama tulikuwa tunajuana vile!

Alafu sikuonana naye tena na hatukupeana hata namba!
mbona wengi mmefaidia moro?
 
Hodi,hodi,hodi,hodi.cSauti toka nje ya geti, karibu Jirani,jiran ametoka dar,nikafungua geti akaingia maana tunakaa Nyumba Moja kasoro vyumba tu,nikampokea mizigo yake pale tukaelekea mlangoni kwake,sasa ana tafuta funguo haoni ,akamwaga kipochi chini hakuna,huku na huku hakuna,Utakuwa umeacha dar nin wewe,basi kama dakika 20 hivi hakuna mafanikio,ikabidi nijiongeze njo hapa kwangu kwanza upumzike tukaingia ndani,sasa akapiga simu kuuliza kwa mama yake mdogo,akaambiwa mbona iko hapa mezani ulipokuwa unakula mchana duuuu hapo ndio akachanganyikiwa kabisa,maana dar lindi safari ipo,
Akasema basi Kesho unitumie akajibiwa Sawa.Tukaingia ndani huku anaona noma

Itaendelea.......
 
Hodi,hodi,hodi,hodi.........Sauti toka nje ya geti, karibu Jirani,jiran ametoka dar,nikafungua geti akaingia maana tunakaa Nyumba Moja kasoro vyumba tu,nikampokea mizigo yake pale tukaelekea mlangoni kwake,sasa ana tafuta funguo haoni ,akamwaga kipochi chini hakuna,huku na huku hakuna,Utakuwa umeacha dar nin wewe,basi kama dakika 20 hivi hakuna mafanikio,ikabidi nijiongeze njo hapa kwangu kwanza upumzike tukaingia ndani,sasa akapiga simu kuuliza kwa mama yake mdogo,akaambiwa mbona iko hapa mezani ulipokuwa unakula mchana duuuu hapo ndio akachanganyikiwa kabisa,maana dar lindi safari ipo,
Akasema basi Kesho unitumie akajibiwa Sawa.Tukaingia ndani huku anaona noma,
Itaendelea.......
Mkuu malizia ..!!
nipo apa nimeweka kambi naisubiri
 
Back
Top Bottom