Kosa linaonekana wazi kabisa. Hiyo meseji ya kulipapasa tu imeandikwa mara mbili, means aliandika na kujijibu mwenye ila hapo akasahau kufuta ile iliyoingia akaziacha zote mbili. Maana kusema tu "unataka kulifanyaje jirani" kisha atabiri kwamba unataka kulipapasa tu ndio na mwanaume akajibu vilevile inaleta maswli kuliko majibu. Hatikatai kuna chai tamu, ila aache ubishi kuwa kaingia chaka.
 
Dah nimecheka sn, huyu jamaa anapaswa kuingizwa Kwenye Vitabu vya history ya kuwafanya waliokula kimasihara kufunguka!
 
Story yako umeiharibu, umejisifia sana badala ya kuelezea kula kimasihara unatuletea habari za bonge la TV,bongo la kitanda sijui vitu gani sasa inasaidia nn jamaa yng
 
Inulile. Naseka mno
 
Ha ha ha ha ,,,nimecheka kama nakuona vile,,
Alafu pia wajita wana sifa ya kuwa na viantena vilefu vinavyoweza kuziba mtaro wa K
 
Kumbuka ndom tuu mkuuu. Maisha ni muhimu bwana usje kufa kizembe kabla hujaiona tanzania ya viwanda
Dua zenu jamani, leo ndo naenda kummega kimasihara yule Manzi, jana nilishindwa alikuja kupokewa pale stand na ndugu zake
 
Daaah uliokota aise mwamba

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…