Umenichekesha sana aisee eti hivi sisi tumelala au hatujalala
 
Saaaaf Umeiwakilisha vyema nchi yako
, u have made ur country proud
 
Mzee baba hii ya kisomali nyoko sana umetisha hatar moto yani huu uzi utaendelea kuduku mpk kieleweke
 
Hakika mkuu, maana kwa umri wangu huu mdogo nimethibitisha hiyo kauli ni kweli kabisa na kwa kupitia uzi huu ndo nadhibitisha zaidi
Yes ni ukweli alikuambia! Yako mambo mengi nyuma ya pazia ila watu watakaaa ila ukweli ndy huo.
 
huu Uzi kidukulilo hajauona nadhani,na picha hazitupiwi Kwa sana kusindikiza visa
 
*SIKU NILIYOLALA NA MKE WA MTU KIUTANI UTANI*

Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Iringa kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).

Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu, baada ya dakika kadhaa akaja Mwanadada mmoja mwenye urembo wa wastani, na umbo moja maridhawa, huku nikiwa nimemkazia macho, alifika pale nilipo huku akiangalia tiketi yake mkononi, baada ya kunisalimu akaketi pembeni yangu na kutulia tuli.
Baada ya mwendo fulani safarini tukajikuta tumetumbukia kwenye stori za hapa na pale, stori zilienda kwa muda na mara kila mmoja akaanza kusinzia kwa wakati wake, nilipokuja kushtuka baadae nikamkuta bi Dada ameuchapa usingizi na wala hajitambui, baadae kidogo nami nilisinzia tena na kupotelea usingizini. kabla ya sote kushtuliwa na tangazo la Muhudumu wa Basi kwamba tunaingia hotelini kwa mapumziko ya dakika kumi pamoja na kupata chakula.

Baada ya msosi na kurudi kwenye basi mastori yalianza tena upya huku wote wawili tukiwa tumechangamka tofauti na pale awali, ndipo kwenye maongezi nilipogundua yeye ni mke wa Mtu mwenye Watoto wawili, na tena akanionyesha picha za wanafamilia wake alizokuwa nazo kwenye simu yake.

Ndipo la haula nilipogundua kuwa muda wote wa safari nilikuwa nimelala na Mke wa Mtu. Hakika tulifurahiana sana kwenye safari ile, huku stori zikinoga kadri tulipokuwa tunakaribia eneo la ubungo ambako ndio kituoni na mwisho wa safari yetu, tuliagana kwa bashasha huku tukitakiana kila la kheri kule tuendako.
 
Ulihakikisha wa tz hatuonekani maboya. Ulijion samata sijui mwakinyo, haya asante kwa kutuwakilisha
 
Ulihakikisha wa tz hatuonekani maboya. Ulijion samata sijui mwakinyo, haya asante kwa kutuwakilisha
Wivu mbaya sana.
Kuna vijiba vya roho
Hata stori tu wivu
Kulogana kupo jama
Sababu ya hadithi
Hadithi kuhusu yetu
Tulofanya siku baki
Ndio! Siku za nyuma
Zingine miaka mingi
Miaka mingi imepita
Leo mtu alia wivu
Naogopa kuandika
Kulogwa nje nje tu
Kisa adindisha sana


Bazazi!
 
Kama sio walimu kuhamahama basi umesoma chazungwa wewe, Ila darasa la tano kumgonga ticha ni hatari aisee
 
Uzi umeanza kutia kichefuchefu! Mitungo tena, dah! Nawaachia mbaharia maana mimi dem huwa sitaki hata kujua aliyempitia kabla yangu
Mi pia hicho ndo kinachonifanyanga nisiende chumvini, hasa nikifikiria kunamtu alishakojoleaga, nikijakuta bikra nitajilipua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…