Operation miezi sita. Ila Sitokaa nimsahau Afsmde Mllay afu siku za weekend lile disko la kwenda ukumbini ukutwe umesimamisha demu barabarani kwenye viunga ukutwe na afande wote ni moja kwa moja mahabusu na demu wako. Afu mbaya zaidi nilikuwa kombania ya Masagasi!π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hilo la kuja Serengeti kwenye maanga ya wanaume walikuwa wanakuja mchana na sio usiku.. Kipindi hicho pale 841 kj mkimaliza six week Serengeti walikuwa wanakuja mchana tu na sio usiku..
Mkuu ulipiga intake gani mafinga? Hata mm nilipga mafinga.. Dah! Naikumbuka root ya chakula toka uwanja Wa RSM uelekeo ria get airport mnaingia barabara ya mufindi mnatokea kwa Balali mnaingia zahanat main gate madarasani mwamunyange hall
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida yao..huwa Wana toa namba wakija maghetoni kuuza line,na tunawatafunaga kwel...,Wewe dada wa tigo uliyechukua namba yangu leo kwa kisingizio cha kunikumbusha kununua kifurushi, jiroge unipigie umeisha. Maana umeshaonesha dalili zote za kuliwa kimaskhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubali kataaa......huko sua na nilikutafuna mim, Uko poa?Mimi nilipokuwa CHUO kikuu, KENYYATA UNIVERSITY Nairob, nikiwa nakaribia MWEZINI /hedhi mwili unakuwa na joto alafu hamu yaani, siku moja nikamuita kijana mmoja aje kunisaidia kufunga taa ya chumbani, alipoingia tu , nikamwambia avue viatu, akavua, akaingia, nikamshikia kiti apande juu , akapanda, alikuwa na flana na track-suti ya kitambaa kwahiyo dushe lake lilikuwa linaonekana limelalia upande wa kushoto[kama mnavyojua wanaume wengi madushe yao yamepinda] basi alipobadili taa, ila anashuka dushe lake likanigusa kifuani, nikalegea nikamvuta kitandani, akala mzigo akasepa, sasa hivi ni mtumishi wa TRA -Kilimanjaro, hatujawahi kukumbushiana tena
Col Mlay nakumbuka sana operation miezi 6Huenda vikosi vinatofautiana maana sisi tulipewa hizo green vest za kijani, godoro, buti mestin na kitanda godown. Mnapangwa mstari unachukua kimoja unatoka unaunga tella unachukua kingine mpaka vikamilike mdundo sasa ni ule muda wa kuvibeba vyote kwa pamoja logwa sasa upewe kitanda cha banko hakina spring unapewa chaga za mabanzi huo mzigo ni balaa. Mafinga sitapasahau enzi za Mlay RIP. Lengo ni kuonyesha mtofautiano wa kambi na kambi kama mimi uzoefu ulivotofautiana na wa kwako. Ila hilo la mwanaume kuingia mahanga ya wanawake namaanisha serengeti mmmh nina wasiwasi. Ingekuwa mwanamke kuja mahanga ya wanaume wao wanakuja sana afu kibalbu ni kimoja ukiwa mwisho wa kona ni kama giza kuna mabaharia walikuwa wanakula mzigo tukiwa humohumo ndani hasa siku ja jumamosi watu wakienda disko.
Operation miezi sita. Ila Sitokaa nimsahau Afsmde Mllay afu siku za weekend lile disko la kwenda ukumbini ukutwe umesimamisha demu barabarani kwenye viunga ukutwe na afande wote ni moja kwa moja mahabusu na demu wako. Afu mbaya zaidi nilikuwa kombania ya Masagasi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Humu ndani kama kuna stori za kweli basi watu wameongezea chumvi na ni mbili kati ya kumi nyingine zilizobaki ni fantasiez tu za wana....porn zinazoanzaga na stori zinatuharibu sana mashikaji....btw huu ni uzi mkali miaka 1000
Humu ndani kama kuna stori za kweli basi watu wameongezea chumvi na ni mbili kati ya kumi nyingine zilizobaki ni fantasiez tu za wana....porn zinazoanzaga na stori zinatuharibu sana mashikaji....btw huu ni uzi mkali miaka 1000
No huyu ni wa ofisi kuu ya mkoa. Nlipoteza line nikaenda kurenew, sasa namba si niliandika kwenye form? Nimemaliza kurenew akaniambia eti anaomba asev namba ili anipigie kunikumbushakujiunga na kifurushi. Ss kuna maswali aliniuliza yapo nje ya mada ya usajili mf. Kabila baada ya kuona jina langu, mwaka wa kuzaliwa. Pia hakutaka niondoke mapema akawa anajizungusha tuNi kawaida yao..huwa Wana toa namba wakija maghetoni kuuza line,na tunawatafunaga kwel...,
Mi mwenyewe nlimwelewa sema huwa sitongozi ovyo ovyoNo huyu ni wa ofisi kuu ya mkoa. Nlipoteza line nikaenda kurenew, sasa namba si niliandika kwenye form? Nimemaliza kurenew akaniambia eti anaomba asev namba ili anipigie kunikumbushakujiunga na kifurushi. Ss kuna maswali aliniuliza yapo nje ya mada ya usajili mf. Kabila baada ya kuona jina langu, mwaka wa kuzaliwa. Pia hakutaka niondoke mapema akawa anajizungusha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo atakuwa alisoma memkwa na alikuwa anaishi kijijini sana kiasi cha kutosikia neno balimi. Balimi ni bia ya wakulima na imekuwepo kitambo sana, sasa kama haijui balimi mpaka 2011 akiambiwa kuna bia iliitwa Kibo Gold si atabishana mpaka mwakani?...Hizo bia za muda mrefu kabla hata ya 2003. Hiyo bia ndio ilikuwa inadhamini mashindano ya kupiga kasia Mwanza.
Bila kusahau bia Bingwa [emoji2960][emoji2960]Mkuu huyo atakuwa alisoma memkwa na alikuwa anaishi kijijini sana kiasi cha kutosikia neno balimi. Balimi ni bia ya wakulima na imekuwepo kitambo sana, sasa kama haijui balimi mpaka 2011 akiambiwa kuna bia iliitwa Kibo Gold si atabishana mpaka mwakani?...
Mafinga kuna yule afande pillato alikuwa mnoko kweli..Operation miezi sita. Ila Sitokaa nimsahau Afsmde Mllay afu siku za weekend lile disko la kwenda ukumbini ukutwe umesimamisha demu barabarani kwenye viunga ukutwe na afande wote ni moja kwa moja mahabusu na demu wako. Afu mbaya zaidi nilikuwa kombania ya Masagasi![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wa juzi wanaijua chibuku na serengeti lite.
Duh kweli kuna chai zinachanganywa na pilipili kichaa kabisaNyie madogo bhana! Toka 2010 kuja 2020 tu tayari miaka 20 baadae!!! Daaah, kweli JF kila mtu anataka aonekane mtu mzima
Sent using Jamii Forums mobile app