Ukiandika kwa herufi kubwa naona kama unanifokea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeh watto wa sikuhiz wanamaliza wadogo sananineshuhudia mtto mmoja alimaliza na miaka 15 4m 4 nikadadis na kujua alianza lakwanza namiaka 5 duhhh so inawezekana sana hata usiumize kichwa kuona haiwezekan kwa kipind cha nyuma ndo ilikuwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu akipita hapa atajua mimi ndo nimeleta hii story

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa huu uandishi daa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli umeandika kimasihara


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kongole sana we jamaa unajua kuandika, & you have confidence hongera pia kumzalisha huyo pisi. Unauandishi mzuri aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…