vipi jamaa bado yuko na hiyo manzi?vipi na wewe unaendelea nyoosha au uliipotezea?
 
vipi jamaa bado yuko na hiyo manzi?vipi na wewe unaendelea nyoosha au uliipotezea?
Ilikuwa ni one time thing na mshkaji sikumwambia, ofcourse niliwasiliana nae mara moja mbili nikampotezea na uzuri wake sikuteleza kabisa nilikuwa na rough rider zangu za kutosha huwa sikosi kwenye gari just incase. Jamaa sikumuuliza chochote kuhusu manzi ake asije hisi chochote.
 
Safi san hii kweli ilkua masikhara.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nimependa uandishi wako hasa hiki kiswahili chako, vijana mnajua kiswahili hatari sana. Huyo mdada alisukumwa na hizo mambo alizopiga, dah!!
 
kweli wewe ni Franky kiswahili chako tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…