Hahaha lile chimbo noma.. jana nilipark pale kuna manzi nilikuwa na msubili..

Gari ya pembeni yangu IST full tinted na gari zote zilipark pale ni tinted kufa mtu, muuni alikuwa anakula mzigo, nilikuja kujua baada ya kuona gari ipo on afu kuna ule mngurumo wa Ac inayotokea Nje..

Pale Noma sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kwa furaha kubwaa niliyonayo baada ya Mike Pombeo kwa niaba ya mzee mzima Trump kumpiga pini yule dharimu(BASHITE kwa herufi kubwa) kutotia mguu nchi ya ahadi (USA) basi naleta kisa cha kula kimasihara;
Ilikuwa 2014 nilipokuwa nimekaa na wana tunashare mbili tatu, akapita manzi mmoja tulipokuwa tumekaa. Kama kawaida ya mabaharia wakamshobokea yule manzi nae akawaonesha ushirikiano huku mtu mzima nikiwa nimetulia tulii. mara manzi akaropoka mbona mwenzenu haongei? basi mshikaji angu mmoja akamjibu jamaa yetu ni bubu ndo maana yupo kimyaa. manzi akashituka kidogo akajibu "jamani mbona mpole hvyo halafu kumbe bubu, sasa huwa mnaongea nae vipi?" wana wakamwambia tunaongea nae kwa ishara tu, but anajua kuandika so huwa tunachart pia.(kipindi hicho mtu mzima nimemute tulii natoa macho as if sielewi wanachoonge) mwana mmoja akamwambia yule demu tukupe namba yake? manzi akajibu nipe nitakuwa namsalimu, mwana akawa amempa namba yangu akasepa.

kula kimasihara; inaendelea.....
 
mwendelezo wa kula kimasihara baada ya kujifanya bubu....
basi baada ya kunitext yule bint nilijifanya simkumbuki (but nilikuwa nshamkumbuka tayari) akataka kujua najishughurisha na nini nami nikampa stori za kibingwa tu wala sikumwambia ukweli wowote... baada ya kama siku mbili nikamwomba tuonane manzi akatoa udhuru kuwa hawezi maana kuna sehemu anaenda baharia nkampa go ahead..Jioni ya siku hiyo manzi akanitumia ujumbe kama nipo free tuonane maana ameahirisha alipokuwa anaenda nami nkamjibu poa. Kama kawaida nikamake arangement na mtoto na nikafanikiwa kumuingiza geto (though mshua hakuwepo so mambo hayakuharibika) manzi kaingia geto kakuta kuna vitabu kibao mezani akantext unasoma? nikamjbu hapana hv ni vya mdogo wangu(kumbuka mda wote huo siongei tunachart tu) basi manzi akakaa kwa bet maana geto hapakuwa na kiti...kufupisha stori demu nlimla siku hyo na baada ya siku kadhaa akakugundua me si bubu,... akaaniuliza why nilimdanganya nkamjibu sikukudanganya ila nimepona. tuliendelea mpaka tulipopotezana.
 
Habari za wakati huu wana JF

HII STORY NI YA KIPEKEE KABISA

si dhani kama kuna MTU yashawahi kumkuta haya ya kwangu .

Mwaka jana wakati nahamia hapa nilipo panga ni apartment flani hivi amazing zilikuwa tatu na zote zinafanana kwa kila kitu Mimi yangu ilikuwa ya katikati ya kwanza wanakaa WADADA WAWILI ya mwisho baharia mmoja .

Niliwakuta hao wenyeji wangu na kunipokea vizuri sana yule baharia alikuwa MTU wa safari safari sana kutokana na kazi zake so hakuwa MTU wa kukaa pale sana .
WADADA WAWILI ni wafanya biashara wanaduka kubwa tu huko mjini posta walikuwa si NDUGU lkn ni watu wa mkoa mmoja kabila kijiji kimoja walikuja wote kupambana na maisha mjini
Wale WADADA ni kila siku isipokuwa juma Pili tu wanatoka SAA 2 asubuhi wanaludi SAA 2 usiku jumapili ni wanakuwa off wanafanya Fanya usafi na mambo mengine jioni wanatoka kwenda viwanja walikuwa na kaa IST chao
Walijenga tabia sijui mazoea ya kila wakiludi wananiletea chakula na jumapili ntapata huduma zote kupikiwa na kufuliwa nguo kiufupi kila jumapili nikawa nimezoea sasa ile tabia na tukazoeana sana na wale WADADA WAWILI

KULA TUNDA/MATUNDA KIMASIHARA


Kama kawaida jumapili baada ya kunifulia na kupika wote kwa pamoja waliniomba jioni tutoke wote hata siku moja hawakuwahi kutoka na Mimi ila Leo walikuwa wanaenda kwa sherehe harusi ya MTU WAO wa kalibu wakaniomba tuongozane Mimi nikakubali ilivyofika jioni nikajiandaa mpk SAA 2 usiku tokatoka na kile kii IST chao WADADA WAWILI walipendeza sana walivutia na kunukia pia story za hapa na pale tukafika ukumbini ile sherehe ilikuwa ya kifahari sana ya MTU mmoja mzito tu ndio alikuwa ana OA anaye olewa ndio RFK na WADADA WAWILI
Tukachukua nafasi yetu nyuma nyuma kule walipiga sana wine bia yaaani kila kitu mm situmii kilevi
Walikuwa na furaha sana Mara waniegemee kila mmoja kwa wakati wake Mara hivi Mara vile kucheza mziki viuno yaani balaa tu ndio nikajua upande WAO wa Pili ni WADADA WAWILI wanaopenda kujiachia sana wapo huru sana

Sherehe ikaisha tukawa tunaludi nikawa nawaendesha story za wakati wa kuludi zilibadilika sana ni mambo ya mapenzi tu sijui WIFI yetu yupo wapi hatujawahi kumuuona na Mimi mashemeji zangu wako wapi sijawahi kuwaona story nikawa zile mpk tunafika nyumbani

Walilewa WADADA WAWILI nikawapa balance ya kutembea nao nikawashika viuno nikawa nawapeleka chumbani kwao nilivyofika mlango kwao nikawa achia na kutaka kusepa kwenda chumbani kwangu wakanizuia na kunitaka niwafungulie mlango kabisa na kuwaingiza ndani sikuona ajabu nikafanya wanachotaka kufika ndani wakajitupa KITANDANI wako hoi kabisa nikawaambia usiku mwema naona mmoja ananyanyuka na kuni kombatia na kiss moja ya hatari naye yule mwingine alivyoona vile naye akanyanyuka na kufanya kama alivyofanya mwenzake lkn yeye alining'ang'ania nikataka kujitoa akanivutia KITANDANI nikafanikiwa kujitoa nikawa namwaangalia yule mwingine aliye simama akanifata na kuanza tena uchokozi na yule mwingine naye akasimama wakaanza nishambulia kwa kasi mwanzo nilijua ni pombe kilevi lkn nikaona hawa hawajalewa sana adi kushundwa kujitambua ikabidi niwape ushirikiano na wanachotaka

ULE USIKU SITAKUJA KUHUSAHAU

Nikajikuta nafanya NAO mapenzi WADADA WAWILI

Nilijikuta kushtuka SAA 7 mchana nipo chumbani kwa WADADA WAWILI sina nguvu nimechoka hatari
Hata kunyanyuka ikawatabu kidogo
WADADA WAWILI hawakuwepo nikakumbuka ule usiku na raha nilizopata kwa WADADA WAWILI nikawa natabasamu sana nilijivuta vuta na kwenda chumbani kwangu na kutafuta chochote kitu cha kula nikakaanga mayai na mkate pale kidogo ikawa afadhali mpk SAA 4 usiku WADADA WAWILI hawajaludi na sio kawaida yao siku mbili wakawa wanaludi usiku sana na kunikwepa siku ya tatu asubuhi ndio wakaja nigongea na kutaka maongezi na Mimi walijutia na samahani samahani nyingi sijui pombe sijui nini sababu kibao
Wakati mm baharia nataka game ya maludiano na WADADA WAWILI basi nilikubali kuwasamehe na ukaka na udada ukazidi sana wakaja kuhama baada ya kujenga nyumba yao WADADA WAWILI
WADADA WAWILI
WADADA WAWILI

Sijataja majina wala location yoyote ili kulinda heshima ya WADADA WAWILI
.asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kushobokea demu huwa haitakiwi ,wewe mute atajishobokeza kwako ,haya mambo yapo kama umeme unaozalishwa katika electromagnetic induction from Lenzis Law, kwa aliyepitia physics atanielewa.ukipeleka sumaku kwa coil inazalisha umeme ambao unatoa usumaku unao oppose huo motion wa sumaku and vice versa
 
Umeanza vizuri kinyama ila mwisho umezingua. Haya haraka sana malizia kura kimasihara.
 
Ukiendelea niite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulimla basi tambua ulibaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jumapili ulienda kanisani kufanya nn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…