Chai hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nimecheka hadi daladalani watu wakawa wananiangalia.

Bazazi


Usicheke sababu mimi nilijua naenda kumtembelea bro kweli mpaka sikua na wazo nachoshkru mpaka wa leo ananitreat kama katoto nilijpatia bonge ya mume
 
Sioi mm.🏃🏃
 
Mkuu nipe namba yake Kama hutajali mimi ni kijana mstaarabu sana [emoji1545][emoji1545]
 
Umezingua aiseee mumeo wa ndoa ndo unamwita 'mpuuzi'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa udom chuo kuna dada yuko dar pini hatari tunatoka nae kijiji kimoja hatukuzoeana sana nilipata namba yake nikamtumia sms kiutani tu 'kuna mtoto anaitwa TUTO na baba yake anaitwa MBANE Je huyo mtoto ataitwaje shuleni?' akajibu. Baadae akaniuliza kweli unataka tufanye? Nikajibu ndio nilijua hawezi kufika dom, hee nashangaa anapiga simu nijiandae anakuja kweli akaja ilikuwa ijumaa nikachukua gesti huku tumbo linaniuma mapigo ya moyo yako juu kiukweli nilikuwa namuogopa kwanza mkubwa halafu mzuri balaa basi nikapiga moyo konde nilipiga show ya hatari yaani ilikuwa kama dozi kwa mgonjwa mpaka jumatatu namsindikiza stendi nikarudi chuo niko nyanga'nyang'a akanogewa akaja tena mara ya pili wenyewe ilikuwa tunaita ku- import
 
Umezingua aiseee mumeo wa ndoa ndo unamwita 'mpuuzi'

Sent using Jamii Forums mobile app
Waah sisi wala hatujawahi kuwa serious na maisha tunaishi kama washkaji tunananiana vyovyote pengene labda sababu hatupishani kiumri watoto mpk muda mwingine wanetu wanatuita kwa majina yetu sorry kama umeipa uzito ila sisi hua utani mwingi inategemea tu na ulipoutelea
 
Za wasio wazuri hazivutii mkuu, zipo nyingi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mkuu ninaomba nikupe ushauri na wala sio pesa ninakuomba. Binafsi boarding miaka sita chaputa sana ila Niko poa. Ishu no saikolojia. Niwekee namba yako pm tuongee. Luna muda college yetu aka Coet inacheza na udbs wanatutania wapiga puli. Ninawaambia bila ya pull fizikia haiendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…