Umepotea njia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atakaefungia JF naua...kuna watu vichaa mazeee
 
Rikiboy popote ulipo agiza bia nyingi sana ntalipia. Uzi wako noma sana.

Juzi tarehe 31 dec, mida ya jion nmetoka kiwanda cha maji kigamboni nipo kwenye pantoni nirudi ofsini kumalizia kazi za watu ndo nkaukaribishe mwaka, nkaona kabinti kamoja kapo peke yake, zile type za wanachuo na vile vibegi vyao. Sura inavumilika lakini shape ya kike imekaa vizuri. Nkamfata tukakaa pamoja story zikaanza. Kakaniambia kanasoma mwaka wa kwanza IFM kamepanga kigamboni, ndo kanaenda kwao kuukaribisha mwaka.
Tukashuka nkachukua namba kila mtu na safari yake. Siku hyo inaonekana kulikua na party kwao, full kupost picha yupo na wadogo zake na ndugu wengine. Ikabidi ntoe comment kwa picha moja, tukaanza kuchati.
Nkamuuluza anarudi lini kigamboni akasema kesho yake, yani tarehe 1. Nkamuomba tuonane kabla hajarudi akaubali. Kweli kesho yake katoka kwao saa 2 usiku. Kuonana nae tumeonana saa 2 na madakika. Kapanda uber hadi kitaa. Alipofika nkaenda kulipia nkaja nae home.
Story za uongo na ukweli, nkamuekea movie. Mpaka saa 5 ndo movie inaisha. Sasa hapo nna usingizi hatari, af nawaza kesho yake nawahi job asubuhi. Nkatoka nkafunga milango yote. Nkamuambia twende tukalale. Mtoto kanyanyuka bila ubishi, kaenda kuoga karudi tukaingia kwa bed.
Nmekula tunda safi, milage bado ndogo sana. Dakika 5 tu mtoto ashakojoa. Afu anataka kuendelea. Tumepiga show mpaka saa 9. Asbuhi naamka mwili wote unauma. Hata hamu ya morning glory sina.
Nkamuamsha tukajiandaa tukasepa. Wote tumeshuka posta, kaenda darasani mimi nkazama job. Nasinzia tu siku nzima.
Kametoka class mchana kakaenda kwake kulala. Usiku tumewasiliana kakaja posta. Nmekachukua nmerudi nako home. Piga tena show usiku kucha. Na jana hivyo hivyo.
Leo nmeamka asubuhi nmekacha kamelala, nmetoka job nmerudi home fasta kuendeleza show, kanasema nletee chips mayai na soda tu, hata game ya simba na yanga sjafatilia. Kameondoka jioni hii kwenda kwao. Kesho kanarudi tena. J3 ndo kakitoka chuo kaende kigamboni kwake.
Vitoto vinanyege sana hivi hafu vitamu sana. Hizi 27+ tunasumbuana tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] umekula mzigo bila ya kumtongoza,baada ya hapo ukamtongoza na yeye akakutosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama masihara vile, kumbe unakuta kademu ka baharia mmoja huko mkoani kanaliwa kimasihara kabisa huku baharia nae akijilia kimasihara huko aliko.
 
[emoji23][emoji23]ondoa shaka,wajanja tushaelewa kifuatacho JF TV

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana hata tunda hajala. Mademu wenye dharau wakae mbali na mimi. Imentokea leo wakati natoka job. Kuna binti mmoja mzuri sana, yani sana alikua mbele yangu, tunaenda njia moja. Hata sjaangaika kumsemesha nkampita nkaenda kupanda daladala, nae kaja kupanda hiyo hiyo. Wote tumesimama. Watu wakaongezeka tukasepa. Kajisogeza kutoka mbele huko hadi nilipo, kanipa hi, kauliza sjui nn, tukaanza story, anafanya kaz benki posta. Story fresh kabisa. Wakati nashuka yeye anaendelea, nkatoa simu nkamuomba namba. Kaniangalia kwa dharau af kauliza nkupe ya nini?
Nmekosa come back ya kumpa. Nkamiambia konda shusha hapo, nkashuka nkasepa. Njia nzima nmemind, sasa kujileta lote kule kwanini 😡😡
 
27+ tunasumbuana tu naunga hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…