S
Simple way ni kuwa na anayejua una familia. Hapo yeye mwenyewe atajiwekea mipaka.
 
Mimi nikashotoa mahali tu, mwanamke hawezi kuweka lockup ya kuaacha kutogoza wengine. Mimi huwa napata mchepuko lazima na mke wangu ajue, maisha ni wewe mwenyewe
Kwamba lazima umtambulishe mke wako mchepuko au kwamba anajua kuwa una mchepuko na hajali? Sijaelewa.
 
Aloh so miaka mitano mzeyea unajilia mema ya nchi. Safi sana. Hawa wanawake wetu bwana tuwagegede. Hapana kuleta uvivu kwenye suala la mbususu
 
Ukitaka kuwapata Wanawake kirahisi alafu wasikusumbue.

Ukishamfamiana kwanza mwambie una Mke na watoto, alafu ndo umtongoze

Atakukubalia , na sababu ya kukubalia, atakua anataka ashindane na Mkeo.

Akili zao 🤣🤣
Demi Joannah Labella kuna mwamba huku anaswma akili zenu zinapenda ushindani na mke. Njooni mnipe jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…