Saizi umepoa sana. Shuhuda zimekuwa chache mno. Zamani ukipitwa week moja tu inabidi utenge siku nzima ya kusoma visa. rikiboy mwenyewe sijui kaenda wapi siku hizi ndio maana panapoa.
Kuna siku moja chuoni nliwahi kuusoma huu uzi kuanzia saa 7 usiku hadi saa 11 asubuhi na sikumaliza

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Utamu wowote unatengenezwa na mwili wako mwenyewe external factors zinachochea tu. Unaweza kuta jamaa anaona wa kawaida
 
Kuna siku moja chuoni nliwahi kuusoma huu uzi kuanzia saa 7 usiku hadi saa 11 asubuhi na sikumaliza

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Enzi zile uzi ulikuwa wa moto. Yaani ulikuwa unaweza shangaa masaa 5 yashakata kirahisi rahisi tu. Ulikuwa ni tiba maana ukiingia humu stress zako zote zinaisha.
 
Huu ndio ule wa kula tunda kimasihara 😂😂☝️ ndo naucheki nmereply tu , niliwahi pitia comments za waja nikasema dunia ina watuu bhana
Huu Uzi ulikuwa Moto Sana 🔥🔥 wakati tuna Anza nao ilikuwa ni balaa bandika Bandua kimasihara ilikuwa kimasihara kweli ' Gen z Wana tuangusha Wana visa vichache Sana 😁
 
Umenikumbusha kisa kimoja hivi dahh I was foolish Kwa kweli 😢😢😢
 
Watu wengi wàmeoa wake za watu wa mioyo yao!
 
Hii ilikuwaga kubwa kuliko. Siichoki kuisoma siku zote.
 
Mzee ulikumbuka ndom au ndio ileeee
 
Chai
 

Kimaskhara mnawekana hadi bao 3 mlijipanga nyie kimaskhara huwa bao moja tu kila mtu anakimbia [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…