Kisa kitamu sana aisee. Mwanausalama wetu atakuwa alikuwa alikuelewa Kiongozi. Mwishoni sasa hamkuendeleza mizagamuo hadi ndoa?!. Kisa chako ni kizuri kinafaa kipate mwendelezo au uzi unaojitegemea.
 
Alitaka kukupa ukimwi huyo bora umetumia akili
 
Code nyepesi sana hii kwa sisi wapiga mishe hapa Mbeya Mjini. Hutu Masai ni single mama mmoja anauza soko la SIDO hapa Kabwe. πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…