Penzi lililoshukiliwa na honi ya School Bus[emoji23]
 
Mimi Nipo kama wewe ila mm nimewala wa tatu
 
Duuhhhh
 
Dodoma hapa ndo nimefika natafuta wa kula naye tunda kimasihara 😜
 
Tumeenda kunywa vizuri, akasema tukitoka tunaend, sasa baada ya kunywa, amegoma kapanda boda. Nilishalipa 50k hotel.

Kuanzia leo sitaki shobo nae tena, kanitoa hasara ya 50, bora ningemtumia mama watoto akanunua hata kijora
 
Tumeenda kunywa vizuri, akasema tukitoka tunaend, sasa baada ya kunywa, amegoma kapanda boda. Nilishalipa 50k hotel.

Kuanzia leo sitaki shobo nae tena, kanitoa hasara ya 50, bora ningemtumia mama watoto akanunya hata kijora
Kwahiyo pombe zimekata kichwani?

Wacha ujinga Malaya wapo wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…