Sasa Kama shindano muwamikilishi wa Tz nilikuwepo mwenyewe kwenye top 5 nchi itaachaje kukosekana kwenye top 20
 
Pisi nyingi sana. Umefanya sawa n wala hujakosea sababu Kikubwa yy pia awe ameridhia kukupa asibakinna makasiriko moyoni
 
Aujazingua Mkuu umeonyesha respect na kumjali sana ,hiyo siku utakuja kupewa show ambayo ujutegemea, ingawa aitakuwa kimasihara tena, lakini tunaomba utuletee mrejesho pia.
 

chai
 
Ni kawaida.

Sent from my itel A512W using JamiiForums mobile app
 
Ili huyo mhusika awe huru.

Sent from my itel A512W using JamiiForums mobile app
 
haujazingua
 
Hayo ndo mambo ya kugentlemen bro👊👊, umeonesha respect kwa mtoto anayenyonya. Umetisha comrade.
 
tunasubiri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…