Aiseeee....

Mkuuu baba wawili umetisha saaana
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]MSHIKA [emoji111]
 
heheheeheheehehhe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji848][emoji848]
 
Lodge nyingi za nyegezi zipo kimitego sana ,yaani kwa nje huwa kuna madada kazi yao kutoa huduma kwa wanaume wanaohitaji!!
 
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU "B"

Turudi kwenye ulaji tunda kimasihara mwaka 2016 nasoma zangu napiga msuli kujiandaa na paper ya six design Kama kambi tunakutana hapo tunafanya yetu tunarudi kwetu me nimepiga day school

Katika haraka hizo kuna mwamba alileta pisi za kutosha kwa ajili ya ku join kula msuli bahati mbaya mademu wote pale wanaleta shobo kwa washikaji maana walikua wana unique characters kuna ma bishow handsome Wenye pochi kuna ma genius wengine swagger so wakajiwaia sisi wengine hatukupata zaidi ya salamu na discussion mchezo umekwisha

Nakiri kwamba mchumba wangu alikua shule huko so nilikua mtu wa puli tu Maana hata demu mwenyewe akija ananikazia

Nisiwachoshe jumamosi tukaenda kupiga paper za kila week huyu "B" tulikaa siti Moja tu tukapiga story mbili tatu akaniambia jioni uje tusome Maana tulikua tuna share combination tukatoka kwenye paper akaenda kwa bwana ake anapiga kazi wizara Fulani ana hela kishenzi

Me Nikarudi zangu mtaani jioni akanitafuta siku ile Tukiwa wawili akasema tu nataka tuongee ongee tu sio kila siku kusoma sikua na mawazo nae sababu ya inferiority complex Sina hela akili ya kawaida tu hata sipendezi Yani hivo sikua na story sana nikamsindikiza hadi anapolala Nikarudi

KULA TUNDA KIMASIHARA
Jumatatu yake sasa tunakutana Kama kawaida hapakua karibu na home me niliwahi mapema Sana na yeye akawahi pia katika kusoma soma nikagundua nimesahau kufunga mlango home nikamuaga Nitarudi ngoja nimesahau kitu basi akaomba anisindikize

kufika nikaomba Japo kiss ingawa kwa uoga wa Hali ya juu akakataa akasema akifanya hivo hawezi kujizuia nikasema Mungu anipe nini hapa nikaanza kufos wala yeye hakuleta ubishi akasema nisimpe jasho ngoja avue nguo kutoka hapo nilikula kwa hasira Maana nilikua na ukwaju balaa na yeye hivo hivo Jamaa ake alikua very busy so akawa ana ukwaju wa kufa mtu

Dah akawa demu wangu ikawa kila siku Lazima Nile vitatu asubuhi Kabla ya kwenda kimoja wakati wa kuagana viwili kapika sana home Jamaa anapiga simu kama hana akili nzuri

Nilikuja kumuacha Kisa demu wangu karudi aliumia Ila me nimekuja kuumia saa hizi sijapata kula demu mkali anajua sex kaumbwa ana care kama Yule manzi

MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU "B"


NIMEWACHOSHA WADAU
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hiki kitu, yaani watoto waliolelewa malezi ya kilokole eti uwapige three some. arafu siku hiyo hiyo watumie kileo (saint Anna) ili hali hawakuwahi kunywa hata mara moja[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Fisi...
 
Hahaaa hua iko hivi mara nyingi hua wanakuja wao kwa mama kabisa kujitambulisha..mama yuko peace sana namm ila dingi weee..
Hahah mkuu hapa unatuambia una bahat kinoma unatongozwaga tu hujui hata kutongoza halafu kule kwenye Uzi mwingine unatuambiaga unawawashia kikoroboi unachana ulimi huku umepaka mafuta ya simba ili uwateke akili....tuamin lipi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…