Hii niliisomaga FESBUKU
 
Kuna jamaa kaleta uzi kwamba.... mke wake amesafiri then akarudi mapema kutoka job....😎 then akakuta hg ameoga ananukia uturi...😊 then alipo maliza kula akaingia chumbani na gh akaja kumgongea mlango kwamba anaogopa kulala pekeake...🤣 then akamfokea kidogo alafu akamruhusu hg alale chumbani kwake....😂 then saizi analala na hg kama mke na mume, tena hatamani hata mkewe akuje kutoka safari...😜
 
😂😂😂 Imdtokea wapi hiyo
 
😂😂😂 Imdtokea wapi hiyo
Imetokea kwa memba wa hapahapa jf....😜
Kasema kwamba ndoa yao ina mwaka wa 35, alafu hg anaumri wa chini ya miaka 16 kimuonekano...🤣
 
Anafaidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…