Samahanini wanaume kwenye Uzi wenu pendwa wa kimasihara, hivi kwa stahili hii mimba sisizotarajiwa zinaepukika kweli?? Ushawish mkubwa hapa ni wanaume kuwala wadada,.

Masingo maza wanazid na mnasema hamuwaoi eti wana matatizo, ni matatizo gan ???kama ulikutana nae tu ukamjaza mimba akaamua azae na ukamuacha!!!!!!!? Hii dhambi haitawaacha haki vile
 

Hii ni sasa ni chai iliyo kwenye ndoo
 
Hiyo mimba nabeba mimi au yeye..?? Mbingu ziko saba.. Sie watenda dhambi average tutakua ground floor.. Nyie watakatifu mtakua mbigu ya saba(, firdaus)
 

Ni changamoto kweli.

Mimi sizuii watu kula masihara ila sipendi namna wanaume wenzagu wanawasema vbya singo mothers
 
Mkuu naomba za Dom! Nipo hapa Desert Palm Area D

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Nakutumia namba pm, anakaa maili mbili. Simu moja tu, hana mbambamba. Kwenye pombe anakunywa chochote, bia mpaka vikali vyote. Ana shoga ake anapenda kua nae mda mwingi, ukiwa mwepesi unapiga threesome
 
Wote nliowapa namba pm hizo namba ni za watu ambao nshawahi kuishi nao so najua vizuri itikadi zao, na najua hawana mbambamba. Siwezi kumpa mtu namba ya mtu ambae sijawahi kudeal nae na sijui itikadi zake. Yoyote atakaeona anaeletewa mambo mengi kama namba umepata wapi na kadhalika anicheki niwavutie waya niwape code ili mabaharia mteleze tu. Nimeamua tu kusambaza upendo kwa wadau
 
Mtu bingwa sana wewe. Huna mambo mengi

Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
 
Ndo tunaijaza dunia. Maagizo ya Muumba
 
Ni-bless na mimi
Angalia namba pm na maelekezo mafupi ili upate ABC zake ujue pa kuanzia. Kama ilivyo ada, ukiona anakubananisha sana namba umepata wapi na ukashindwa kupangua hicho kipengele let me know chap kwa pm ili nimvutie waya mwenyewe nimpe code. Ananiheshimu sana, hajawahi kunipinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…