Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee fanya uoee huyo afisa wa serekali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa field nilienda peleka file ofisi jirani nikasahau simu kuja kurudi kuchukua simu nilikuta kachukua mkaka akanipa uku chini akinipa namba ya simu moyo ulienda mbio sana

Nilimtafuta mda uho uho akaomba mda wakutoka nimsubili basi mda ulifika saa moja jion tukiwa pale Tanganyika school akiwa anamwaga masifa tele nikajikuta naliwa denda nikakumbuka eneo ilo lina cctv nikamuacha tuliagana

Kwenye simu siku iyo ilikuwa ni kutambiana kesho yake nilienda kwake saa nne nilikuja kutoka saa kumi nilipenda show yake hatukuwai kurudia

Juzi nilimkumbuka nilienda kwake nikaambiwa amesafiri niliumia sana nikaja kuliwa na mtu wa ovyo siku iyo
 
Na uliuza mechi?? Au uliiwakilisha vema jeief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya mtu hovyo nayo tusimulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…